Recent content by nguruka wa kig0ma

  1. N

    JamiiForums Tanzania Nani amelipa Tsh Milioni 200 tangazo la Tanzania kwenye jengo la Burj Khalifa, Dubai?

    Umejuaje? Nyie ndiyo wanafiki much know
  2. N

    JamiiForums Tanzania Huenda Humphrey Polepole akawa mkuu wa Chuo cha Uongozi cha CCM

    Baada ya kuondolewa kwenye uenezi wa CCM, alikuwa anafundisha elimu ya uongozi, akaita chuo cha uongozi. Ukitafakari sana utaona kana kwamba CCM walikuwa wanakitangaza chuo chao kijajusi jasusi hivi kumtumia Polepole huku wakituaminisha kuwa wamefarakana. Natabiri Polepole atakuwa mkuu wa Chuo...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Mechi za Yanga zichunguzwe, haiwezekani wanashinda mechi kirahisi namna hii

    Kwakuwa ninyi mliwashindwa mtibwa akaamini na yanga watawashindwa siyo? Ukikua utaacha kuandika ugoro
  4. N

    JamiiForums Tanzania Mechi za Yanga zichunguzwe, haiwezekani wanashinda mechi kirahisi namna hii

    Mtateseka sana mwaka huu. Tabia cha mtu Malaya,awe mwanamke au mwanaume,huwa anawaza kuwa anavyoishi yeye kimakaya Malaya na watu wote huishi hivyo Akipita njiani akiona kuku au mbwa wanajamiiana anatamani angekuwa yeye. Simba mmezoea kuhonga marefa na kununua mechi. Sasa mnawaza na yanga...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Simba inatengeneza rekodi ya pekee, mchezaji wa timu nyingine akiwafunga wanamsajili

    Alikufanya ndiyo maana unamtaja
  6. N

    JamiiForums Tanzania Simba inatengeneza rekodi ya pekee, mchezaji wa timu nyingine akiwafunga wanamsajili

    Huu ni upoyoyo mkubwa sana. Simba ikifungwa na mchezaji yeyote anataka kumsajili. Ni rekodi ya pekee haijafanywa na timu yoyote duniani. Tumieni akili
  7. N

    JamiiForums Tanzania Makonda anaufedhehesha muhimili wa Mahakama; Hana madaraka lakini Mahakama inamtii

    Dogo mchawi sana,ndiye aliyemfanya mwenda zake atukane hata wazee bila woga
  8. N

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Mtwara mjini asema Serikali kama ilipeleka Vifaru Mtwara ili gesi itoke, basi ipeleke Vifaru hivyo Ngorongoro kuwaondoa Wamasai!

    Kwahy mtwara ilipopelekewa vikosi vya jwtz na vifaru,sakata la gesi ilikuwa busara,au wakati wa kununua korosho walizolima wa nguvu zao nayo ilikuwa busara?
  9. N

    JamiiForums Tanzania Rais Samia umekubali kutukuzwa hivi? Yanayofanyika shuleni siku yako ya kuzaliwa siyo sawa

    Nilishaacha kusikiliza habari zao.
Back
Top Bottom