Recent content by Nguruka one

  1. N

    Mikakati chafu ya ccm kwa waalimu wasaliti leo dodoma:

    kumbe na walimu wapo machizi, kwani unadhani walimu wote tunamuunga mkono mzee wa kukinyea?
  2. N

    Msafara wa wafuasi wa Kafulila wapata ajali, 5 mahututi

    Msafara wa wafuasi wa mgombea ubunge jimbo la Kigoma Kusini waliokuwa wakisafiri kwa Trekta kutoka kijiji cha Mtego wa Noti kwenda kijiji cha Chagu kwenye mkutano wa kampein wa mhe, Kafulila ambae jioni hii alikuwa na mkutano wa kampeni kijijini Chagu. Watu watano wamejerujiwa vibaya na mmoja...
  3. N

    Mkutano wa Rais Mstaafu Mkapa, Bukoba Mjini uwanja wa Uhuru Platform (Mayunga)

    kiuchumi huitwa maendeleo. uhuru ni ukombozi we vp?
  4. N

    Wasomi na ma DC wavamia jimbo la Kafulila

    Jumla ya wakuu wa wilaya 3 na baadhi ya wasomi kadhaa ni miongoni mwa wagombea 13 waliojitokeza kuomba ridhaa ya kuchaguliwa na chama cha mapinduzi kupeperusha bendera ya chama hicho katika uchaguzi mkuu mwezi October mwaka huu, wakuu hao wa wilaya ni:- 1. Gulamhussein Kifu - Mkuu wa wilaya...
  5. N

    Matatizo BVR yakwamisha zoezi la uandikishaji Nguruka

    Hapa Nguruka uandikishaji umekwama tangu Jana kwa sababu ya mashine za BVR kugoma wananchi wamekesha wakizilinda mashine zisiondoke maana mwisho ilikuwa ni jana.
Back
Top Bottom