Wale Askari wanaofunika nyuso zao, wote hao siyo Askari magereza hao ni Askari maalum ambao wanakuja hapo gerezani siku ya kesi Tu ya tundu Lissu hayo matendo anayotendewa Lissu ni maelekezo kutoka Kwa waliowatuma. Askari magereza Halisi hawajifuniki nyuso zao na hawamsubui Lissu iwe gerezani...
Tupo Ktk nchi ambayo wajinga ndiyo wamepata nafasi ya kuwa viongozi Ktk Taifa ambalo linahitaji ukombozi WA pili baada ya wakoloni weupe mwaka 1961. Sasa tuna KAZI nzito ya kuondoa viongozi wajinga na kufanikisha Uhuru WA pili.... No reform no election...!!
Wakuu umofia kwenu.. km kuna yeyote anashida na hela na ana radio subwoofer ndogo Tu ya kawaida ani-dm nimuokoe na yeye aniokoe. Sitaki radio kubwa ya bei ya kubwa ndo maana nimekuja hapa. Maduka ya radio nayajua ila Sina hizo hela.. ahsanteni..!!
Tuanzie ordinary level na advanced alisoma wapi na ufaulu wake ukoje!? Tuanzie huko Kwanza. Kuhusu hizo stashahada za mwaka mmoja huenda inawezekana Kwa sababu zote ni za kubet kitu ambacho sidhani km ni muhimu Sana Duniani.
Niliachana naye mkuu kitambo sana na yeye aliachana na Yule kijana na Kwa sasa yupo Oman na mwaka jana alimaliza kumjengea Nyumba mama yake mzazi lkn bahati mbaya mama yake amefariki mwezi wa pili mwaka huu..!
Kujijali mm si ndo pamoja na kuondoka mkuu!?? Sasa hv tatizo langu ni pesa ya kujikimu, tatizo hilo halitatuliki hata nikirudi pale bado nitakuwa sina kazi na sina hela.. Nitapata sehemu ya kulala kweli lkn sitapata hela.. Me sina tatizo la sehemu ya kulala ila nna tatizo la pesa au kazi...
Yes niliwapigia azam wakaniambia badala ya kukifungia nisubiri akianza kulipia inakuwa rahisi kujua location.. Km nna RB watanisaidia kujua kilipo.. Ndo nasubiri akianza kukitumia.. Maana akilipa tu me napata notifications kwenye number niliyosajilia.
Ww ni mwanamke, hebu nikuulize uniambie kwa uwazi tu.. Unajisikiaje umeishi na mwanaume miaka zaidi 20 halafu hakuamini!? Na unajisikiaje pale unapoishi na mwanaume zaidi ya miaka 20 halafu anakuamini.. Yaani amekufanya rafiki chako chake na chake chako..!?? Niambie hisia zako ktk mambo hayo...
Akiba yenyewe iliyokuwepo aliyoondoka nayo ni laki 4. Na siyo kwamba nilimpa aniwekee niliiweka ndani tena kwa kuificha.. Lkn nilikuta ile sehemu niliyohifadhi alimwaga vilivyokuwemo akakutana na zari la hela..! Hakujua kabisa km kuna hela ila alikuwa anahitaji hilo begi na wakati anatoa nguo...
Watanzania sijui tuna shida gani!? Hivi mkeo huwezi kumpa milioni 2 azitunze!? Mwanamke uliyeishi naye miaka zaidi ya 20 na watoto 5!?? Mbona hata bank huwa zinafilisika, unajua sheria za bank ikitangazwa mufilisi!?? Unajua km ukiwa na milioni 2 bank, km ikitokea bank ikafilisika hupati kitu...
Sasa mbona unajipinga tena!? umeanza vizuri kwa kuonyesha kuheshimu maamuzi yangu..! Lkn hapo mwisho umerudia jambo lilelile.. Maelezo yangu yote kwenye bandiko langu hakuna popote nilipoonyesha kujutia maamuzi yangu..! nimeeleza hayo ili kuwaonyesha watu mapito yangu na kwamba nimefikaje hapa...
Tatizo mnachanganya mambo!? Kwanza fahamu kwamba nna mahusiano mazuri sana na watoto wangu.. Na sipo mbali kabisaa ilipo familia yangu na nnapoishi mm.. Nilipo mm na ilipo familia haifiki hata kilometre moja.. Ni km meter 600. Watoto wanapajua vizuri sana nnapoishi na huwa wanakuja. Mm...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.