Kama kuna kitu kinanipa raha nikuona jukwaa la jf limehamia fx haijalisha wanasema nn lkn fx imewavuta lazima tukubali tumewapiga chini wapinzani wetu naamini kama wameweza kutufuata huku watatufuata hata class muda unasema ipe muda kidogo
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo anayepiga hesabu ya pesa atakayopata Ontario tunakualifu sio hizo tu nanyimgine tutatoa hakuna hasara ukilinganisha na tunachopata nyambafu zako
Sent using Jamii Forums mobile app
Natamani kutukana watu wajinga kama huyu anayejiita muuza mbege ujinga hauna kabila ila huyu ni mjinga total anauliza njia wakati wa kwenda anauliza njia wakati wa wakurudi unaye muhurumia nani anayekuomba pesa kama pesa zetu kinakuuma nn muda unasema ujinga utakutoka tu
Sent using Jamii Forums...
Naomba tuwe watulivu katika wakati huu muda unasema kuliko maneno wacha waseme sisi ambao tujua ABC kuhusu fx tuwe wapole kwakuwa tunajua tunacho Fanya MKUU pamoja sana tutafika tuu jmosi pamoja
Sent using Jamii Forums mobile app
Al watani napenda sana post zako naomba kujua kanuni za kusoma chart vitabu kaka nachimba ila kwenye chart nagonga mwamba nisaiidie ndugu yangu
Sent using Jamii Forums mobile app
Samahani kama hutojali soma kitabu kinaitwa the fx bible kina majibu yote ya maswali yako bila kusoma hakika fx ni ngumu sana unahita muda wa kusoma na kuganya mazoezi bila kuchoka vinginevyo utatoka mdogomdogo
Sent using Jamii Forums mobile app
Kila mmoja atata kujua baadhi ya mambo kwanza tumshukuru mungu kwa kuwa na fursa kama hii pili tukubali kuwa hatuwezi kuwa wote kwa wakati mmoja tatu vigezo vyovyote vitakavyotumika tukubaliane navyo kwa faida yetu sita jisikia vizuli tunakomaa navitabu tunapo kwenda kwenye tred tunachoma acc...
Naomba sana tena sana zingatieni sana hili darasa ambalo ss watu tunao penda fx tumeamua kwa ridhaa yetu kujiweka chini ya mwamvuli wa bwanamdogo Ontario ieleweke kuwa tupo watu warika tofauti hivyo rugha zinazotumika zizingatie maadili na ustarabu wetu mademu wa Kali hapa si mahali sahihi...
Ndugu zangu wote ambao tunatunisha misuli kwaajili ya fx haina budi kuwa wapole na kuendea kuchimba vitabu mbalimbali tunavyoelekezwa na wahusika nawapongeza wale wote ambao wanatumia muda na nguvu katika hili kwa faida yao na taifa kwa ujumla angalizo watakuja matapeli wa kila sampuli kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.