Recent content by ngulwi

  1. N

    CHADEMA yajiondoa kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Waziri Jafo awashangaa kususia uchaguzi

    Sure,maisha yaendeleee smoothly ,hamna kuvutana vutana tena
  2. N

    Polepole ataka Zitto Kabwe achukuliwe hatua kwa kupotosha ripoti ya CAG, amtaka 2020 atafute kazi nyingine

    Sawa yote hayo trilioni 1.5 zimetumikaje ,CAG kauliza ,haaa haaa haaa njia ya muongo ni fupi?
  3. N

    Kijana aliyetuma picha za Nyufa za Hosteli za Magufuli UDSM akamatwa na Polisi, anyimwa dhamana

    Hii hili litakuwa kati maaajabu 7 s ya dunia hili la nane nchi pekeee dunia inayoweza kamata RAIA wake anayetoa taarifa kwa umma kutaadharisha ,anakamatwa , ila halitasalia jiwe juu ya jiwe
  4. N

    Je, huu ni ufuatiliaji wa uwajibikaji au udhalilishaji kwa bullying na intimidation?

    Shida moja ,mnachagua wanasiasa ndio wawe watendaji ,wakati halmashauri kuna watendaji wazuri wanajua vizuri,na wanàuzoefu zaidi
  5. N

    RC Mkoa wa Dar es Salaam asema atakayeleta vurugu mkoani kwangu ashughulikiwe na aliyemkamata asiachiwe

    No longer at easy , walikuwepo wakina herode wako wap?
  6. N

    Arumeru: Mkuu wa Wilaya Mnyeti akiri kuwanunua Madiwani, adai ataendelea

    Nani aliyekwambia takukuru inakamata wanachama cha kidumu fikra za mwenyekiti, haiwezi itabaki ikikimbizana na watumishi na wasio watumishi na wenye kuipinga serikali, wako wapi wa escrow ambao ni wa kidumu chama
  7. N

    Spika Ndugai: Walisema Spika dhaifu wakaingia kwenye 18 zangu

    Hakuna mchana usiokuwa na Giza , na hakuna marefu yasiokuwa na Mwisho,na halitasalia jiwe juu ya jiwe
  8. N

    Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni aamuru kukamatwa kwa Mbunge Halima Mdee na kuwekwa Korokoroni 48hrs

    Serikali kama hawataki kukosolewa,wapeleke muswaada bungeni,kufanya amendment ya 12 ya katiba ya sasa kufuta siasa vyama vyingi , na kubaki na chama kimoja,tu
  9. N

    Kampuni ya Reli Tanzania(TRL) yavikana vichwa vya Treni, yataka virudishwe vilipotoka

    Hapo ukweli labda waziri wa zamani wa uchukuzi ,atakuwa anavijua wa awamu ya NNE ,ambaye sasa ni michezo na utamaduni
  10. N

    Mrisho Gambo: Wapinzani watapotea

    Wapeleke muswada bungeni wa kufuta mfumo vyama vingi, na wabadile katiba kuwepo mfumo chama kimoja ,hakuna atakeye wachalenji tena, wananchi hutaki unafiki
  11. N

    IGP: Tunawasaka watu wanaofurahia na kukebehi mitandaoni baada ya askari kuuawa

    RIP makamanda , ningekuwa mkuu wa jeshi la Polisi ,ningeagiza askari wangu waingie kwenye hicho kijiji kukamata wote , ningewapata tu hao wahalifu, maana wanaishi kwenye hizo jamiii ,
  12. N

    Hivi kinachompa RC na DC mamlaka ya kumuweka mtu rumande ni nini?

    Sheria inawaruhusu soma section 7 ,ya Region comissioner act,
Back
Top Bottom