Recent content by Ngulutu

  1. N

    Natafuta uzoefu wa kuuza spea za magari, pikipiki au bajaji

    Habari zenu wakuu! Nipo kwenye mchakato wa kujifunza hii biashara, mbinu ninayotaka kuitumia ni kupata sehemu yaani duka linalouza spea za magari, pikpik au bajaj. Kama kuna mtu anafursa hiyo na ananafasi tuwasiliane. Nipo kahama kwa sasa. Asanteni.
  2. N

    Mlioomba Ajira Ualimu utumishi Angalieni status zenu

    Ni sawa lakini sio rahisi kwa idadi hiyo!
  3. N

    Mlioomba Ajira Ualimu utumishi Angalieni status zenu

    Nimeamini watoto Wa maskini ni wengi kuliko utitiri!
  4. N

    Fuel Bay Attendant at Barrick

    Asante ila naona watu Wa veta ndio wanahitajika hapa
  5. N

    Serikali yatangaza ajira za ualimu kwa mwaka 2024 zaidi ya nafasi 11,000

    Mbona Mimi imekubali mda huo huo, Hamna cha kisubiri mda cjui ,kama unatumia cm jaribu kubadilisha tumia computer cm znazinguaa
  6. N

    Serikali yatangaza ajira za ualimu kwa mwaka 2024 zaidi ya nafasi 11,000

    Bonyeza kwenye edit hapo AF nenda choose file kisha unaweka cheti unasave
  7. N

    Serikali yatangaza ajira za ualimu kwa mwaka 2024 zaidi ya nafasi 11,000

    Bonyeza kwenye edit hapo AF nenda choose file kisha unaweka cheti unasave
  8. N

    Serikali yatangaza ajira za ualimu kwa mwaka 2024 zaidi ya nafasi 11,000

    Nilishaitwa Mimi Mara moja bila kucertify vyeti
  9. N

    Religion; The opium of the people

    How Sure are you?
  10. N

    Natafuta kazi ya ukemia wa plant(mineral processing)

    Ndio nimefanya kwa kuanzia mwezi Wa kumi 2022 nikatoka mwezi Wa tano 2023 baada ya hapo nikawa nafanya Mara moja moja
  11. N

    Natafuta kazi ya ukemia wa plant(mineral processing)

    Bila kupoteza muda Mimi in mkemia Wa dhahabu kwenye upande Wa plant Natafuta kazi kwenye chimbo lolote hata nikianza nikiwa chini ya mkemia mwengine sawa( wakemia wenzangu mniunge kwenye kazi) location: nipo kahama
  12. N

    KERO Makanisa kupiga kelele usiku kucha na mchana kutwa Kahama/Lugera

    Napafahamu mkuu nafikiri ni kanisa lile la turubali jeupe kama sijakosea. Mimi nipo kwenye center ya mbele yake huku
  13. N

    Wakuu naomba ushauri: Hii laki nane niliyonayo mfukoni nifanye biashara gani ili niweze kuizalisha?

    Anzisha biashara ya kuuza chakula na juice kule ujasi Udom utapiga mno hela
Back
Top Bottom