Recent content by Ngulumto

  1. N

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Wamejitahd sana unatoka mkeka uja page8 huko balaa, wasiishie huu mwezi tu
  2. N

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Muhim sana hili la interest, kuna dogo pia aliona zile post za ASA Walika agricultural engineer kwenye tangazo nakumbuka hazikuzidi watu 20 akawa anapuuzia kuomba ila walipokuja kuchukua walizoa balaa watu wa civil walikuchukua km 100, wa maji walichukua km 60 na wa agriculture engineer nao...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Hili wengi hawazingatii sana, nna watu kadhaa wa karibu kwa strategy km hii wamebahatika kulamba asali
  4. N

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Hii bado sio sababu, wanaeza yakusanya matangazo kadhaa labda ndani ya mwezi watoe tangazo moja na usaili uwe mmoja tu then wawapangie vituo vya kazi, baadae hata zikija halmashauri zingine wanaeza tumia database tu kawapangia vituo vya kazi, hii itapungusa sana usumbufu na gharama kwao...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Hongera sana kwa kufankiwa kuvuka kihunzi, ukawe mtumishi mwema, pia usikimbie huku uendelee kuchangamsha km kawaida yako
  6. N

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Umeongea sahihi sana mkuu, vijana hatupo tayari kuanzia chini, hata hapo TRC kuna watu wameanzia chini kabisa now ni waku wa vitengo na wakuu wa idara wanakula maisha sana tu
  7. N

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Hongera sana
  8. N

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Hata lile la watendaji/madereva🤣🤣🤣
  9. N

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Nna miaka kadhaa nafuatlia harakati za ajira, hawa TCRA ndio mara ya kwanza naona wanatatangaza kazi, vijana wenye sifa changamkieni fursa mkalambe asali yenyewe
  10. N

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Leo jamaa wametoa mpya aisee, na uandishi ulivo sasa🤣🤣🤣
  11. N

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Pole sana mkuu, uskate tamaa mda utafika japo huenda ikawa kwa kuchelewa sana, kuanzia mwaka 2022 ndio mambo haya ya kukawiza sana yameanza lkn miaka ya nyuma ilikua usaili ukipita mda si mrefu wanatoa majina na ilikua kawaida mfano kazi ilihitaji watu 10, wanachukua hata zaidi ya hao 10 kwa...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Advance Physics ilivyokuwa inatugeuka ndani ya chumba cha mtihani

    Hii kisanga aisee staisahau maishani
  13. N

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Oral msingi muhim ni confidence, fanyia kazi ishu ya kuji introduce vzr, jitahd kujua zile duties wkt wa tangazo, kujua abc za maswala ya hio kada/post unayofanyia, challenges pia za kazi husika kazn, ulizia pia wenzako waliwahi kufika oral ya post hio unaeza pata maswali common
  14. N

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Vitu km hivi ndio vinakera sana, juzi tu waliita watu kwenye tangazo lao wanasema walifanya usaili kitu kama oct 2022, karibia miaka miwili ndio unaita mtu kazin? Watatue hio shida, ibaki tu watu wa database ndio hata wawe wanachelewa tukiamini wanawatafuta pa kuwapeleka lakin sio kwa nafasi...
  15. N

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Afadhal mana alizidi
Back
Top Bottom