Recent content by Ngozingozi

  1. N

    JamiiForums Tanzania RPC awapongeza wananchi walioua maaskari Karagwe

    Kwa akili ya kawaida huyu RPC amelazimishwa kusema hayo baada ya wananchi kumzomea
  2. N

    JamiiForums Tanzania Vurugu za UAMSHO Zanzibar: Polisi auawa kikatili...

    Tatizo mkuu wetu wa nchi hana maamuzi anasua sua afadhali tu kipidi chake kipite na akiendelea inawezekana asimalize muda wake maana hana maamuzi, tunazidi kwisha kwani uamusho nini bhana! C bora lijulikane moja tu kama ni vita itangazwe vita bac watu tusonge mbele
  3. N

    JamiiForums Tanzania Vurugu za Mbagala ni zaidi ya mnachokifahamu - Oh Tanzania!

    Mhh Waganga wa vienyeji wengi ni mashetani, Elimu ya wenzetu haitoshi tuwasamehe, ila waendelee ipo siku patachimbika, maana vitendi vyao vinatushosha papambu sana
  4. N

  5. N

    JamiiForums Tanzania "Ukweli" kuhusu kifo cha RPC Barlow ni huu hapa...

    Huyo mama si angesema2 ukweili kama anawafahamu wauwaji
  6. N

    JamiiForums Tanzania RPC wa Mwanza ACP Liberatus Barlow auawa na wanaodaiwa ni majambazi!

    Hapana tusifurahie haya maovu jamani tunakoenda ni kubaya lazima tutafakari
Back
Top Bottom