Na Mwandishi Maalum
Kuna tofauti kubwa kati ya maandamano ya kiraia na hali ambayo harakati za kiraia zinaanza kuunganishwa na uasi wa kijeshi, jaribio la kuangusha Serikali kwa nguvu na mapambano yanayosababisha vifo vya mamia ya watu.
Hilo ndilo jambo linalonifanya niulize swali hili kuhusu...
Kuna maswali ambayo lazima tuwaulize Serikali, upinzani, wanaharakati, wasomi na viongozi wa kiraia kuhusu yaliyotokea Oktoba 29, 2025.
Kuna jambo moja nataka nilianze kwa kulisema wazi:
Mimi sipingi maandamano. Ninaunga mkono haki ya wananchi kuandamana kwa amani.
Maandamano ni sehemu ya...
Kumekuwa na mjadala mkubwa kuhusu nafasi ya wanaharakati wa mitandaoni katika siasa za Tanzania, hasa baada ya kauli mbalimbali zinazowakosoa viongozi wa CHADEMA na kuhoji mwelekeo wa chama.
Swali muhimu si kama ukosoaji ni mzuri au mbaya. Swali la msingi ni hili:
Je, chama cha siasa kinaweza...
Ndugu zangu wa JamiiForums,
Kuna msemo wa kale unasema, "Siku zote mdudu anayekula mti hutoka ndani ya mti wenyewe." Katika kurasa za historia ya ulimwengu, hakuna ukoloni uliowahi kufanikiwa kwa mabavu ya kijeshi pekee bila kuwepo kwa usaliti wa ndani. Unapotafuta mzizi wa maafa, umaskini, na...
Utangulizi
Katika zama za kidijitali, nguvu ya kuunda maoni ya umma imehama kutoka kwenye magazeti, redio na televisheni pekee kwenda kwenye majukwaa ya mitandao ya kijamii. Leo, video ya sekunde 30 inaweza kusambaa kwa kasi zaidi kuliko hotuba ya saa moja iliyotolewa ndani ya Bunge...
Kuna tatizo kubwa sana ,kwetu sisi kuzungumzia jambo nje ya muktadha,kwanza wahamasishaji WAKIDAI ni mapinduzi,na mutiny ya Jeshi na wakamuonesha mwanajeshi ambae alitangulia na wenzie watafuata,tukaona wachungaji walivyohamasisha uchomaji wa Mali na vituo vya Mafuta,nk
Unaposema ni mapinduzi...
Kila mara Rais anapotoka Zanzibar, sauti za kuhoji Muungano huongezeka. Ghafla tunasikia madai ya Tanganyika, malalamiko ya mgawanyo wa madaraka, na mijadala mikali kuhusu muundo wa dola.
Lakini cha kushangaza ni hiki: Rais anapotoka Tanzania Bara, madai hayo hayo hupotea kana kwamba hayajawahi...
Nakubaliana nawe asilimia 💯,Cha ajabu kuliko yote,ni utafiti wa Dr Harith Ghassani wa chuo kikuu Cha Harvard alikwenda Hadi UMOJA wa MATAIFA ambapo nchi zilizoungana huweka mkataba na ndipo hupewa kiti lakini pia HAKUNA MKATABA, TANZANIA NDIO MUUNGANO PEKEE WENYE KITI CHA UMOJA WA MATAIFA BILA...
Trump, Mgogoro wa Uchaguzi Marekani, na Kitendawili cha Magharibi Kuitolea Afrika Mafunzo ya Demokrasia
Na Dawati la Uchambuzi wa Siasa za Kimataifa
Kwa zaidi ya nusu karne, Marekani imejiweka mbele ya ulimwengu kama mwalimu mkuu wa demokrasia. Imekuwa ikitoa tathmini za uchaguzi, kuhimiza...
Marekani Ni "Energy Independent" Kweli — Au Hii Ni Hadithi Inayouzwa Kwa Dunia?
Kwa miaka kadhaa sasa tumekuwa tukisikia kauli moja ikirudiwa mara kwa mara: Marekani imekuwa taifa linalojitosheleza kwa nishati. Kwamba mapinduzi ya mafuta ya shale yameifanya isiihitaji tena Mashariki ya Kati...
Ziara ya SPIEF Russia Inaweza Kubadilisha Mustakabali wa Mbolea, Nishati, Madini, Teknolojia na Masoko ya Tanzania
Katika kipindi hiki ambacho dunia inapitia mabadiliko makubwa zaidi ya kiuchumi tangu kumalizika kwa Vita Baridi, mataifa mengi yanaanza kutathmini upya washirika wao wa kimkakati...
Katika enzi ya sasa, vita vikuu havipigwi tena kwa mabomu na risasi pekee; vinapiganwa ndani ya akili na nyoyo za wanadamu. Hakuna kazi ya sanaa iliyofunua ukweli huu kwa usahihi mkubwa kama filamu ya The Book of Eli (2010), iliyoigizwa na Denzel Washington.
Filamu hii inatupeleka katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.