Recent content by ngowilelo

  1. ngowilelo

    KOVA: Ukimuona MGENI au MPANGAJI humjui ripoti POLISI

    Alafu hyo ni nzuri.coz zanan ilikuw hvyo.na ictoshe ukienda zanzibar umelal kwa ndgu yko tu ucku asubuh mjumbe huyo.kuulizia ugeni ekk.ulikotokea.ukazi wko.hyo itapunguza uhalifu.ni njem
  2. ngowilelo

    Kuitwa kwenye usaili polisi

    Uyo anayesem bdo atakuw muongo.hao wa vyuo mwisho tareh 22 mwez hu.sas cjui afahamu.ssi ndo tupo uku jikon.ccp hahaaaaaaa
  3. ngowilelo

    Magufuli: Wanaogoma wapaki Malori yao Nyumbani na wasiyaweke barabarani

    Maguful namkubal sna.anafaa kuwa wazir mku badae.hna longlong.mkwel.sas wacopend utendaj wke wnaona wanaonew.mbon kigambon wanalipa aliyoagiza????!mwachen mtu wa watu huyo
  4. ngowilelo

    Naibu Waziri akiri 'udhaifu' wa Serikali

    Uyo itakuwa maombi yalikwisha ingia mwilini na kuiondoa ile sumu ya uongo na akanza kubwabwaja.ujue ukiombewa pepo akikutoka ndo kma hvyo unaanxa kukiri udhaifu.
  5. ngowilelo

    Picha iliyonihuzunisha: Mtoto wa ki-Iraq amempoteza mama yake ameamua kuchora picha

    Hivi humu dunian me nadhan kuna wanaodhan wao hawataonja umauti.ila kma kuna ila kma kuna moto wa jehanamu bc ipo cku utawakumba
  6. ngowilelo

    Picha iliyonihuzunisha: Mtoto wa ki-Iraq amempoteza mama yake ameamua kuchora picha

    Mam ni mam.fikiria at ukipatw na jmbo kit cha kwnxa kutaj ni mama.waheshimun sna mam zetu
Back
Top Bottom