Recent content by ngovazi

  1. N

    Rais Kikwete linda wananchi, mnyarwanda anadhalilisha wananchi wako kiasi hiki

    Siyo huyo tu mkuu wapo wengi wengine wana nyadhifa za juu jeshini
  2. N

    Tanzia: Nimempoteza baba mzazi leo mchana Muhimbili Hosp

    Pole sana familia ya ndugu Lokissa katika kipindi hiki kigumu tunaungana nanyi kumuombea ndugu yetu mr lokissa
  3. N

    Eusebio wa Ureno Afariki Dunia

    Namfahamu vizuri ni mmakonde wa kwanza kucheza ulaya
  4. N

    Polisi ajipiga Risasi sasa hivi

    Ahsante kwa taarifa ila nikikumbuka ya Mwongosi naona kama angejipiga tatu kichwani na mbili tumboni saba shingoni
  5. N

    Kiongozi wa kundi la Al Qaeda lebanon afariki

    Kiongozi wa kundi la Al Qaeda Majid Al Majid amefariki akiwa kizuizini nchini lebanon. Majid al majid ni mhusika namba moja katika mashambulizi ya washia nchini lebanon na tukia la ushambulizi wa balozi za iran nchini lebanon
  6. N

    Ni kweli ukigundua kitu na kukitengeneza kwa manufaa ya taifa serikali inakuweka ndani?

    Ukitengeneza sabuni utaachwa ila jaribu kutengeneza bomu japo vyote vina umuhimu
  7. N

    TAHADHARI: Hali ya bahari imechafuka.

    Itachukua siku ngapi kurejea hali yake ya kawaida
Back
Top Bottom