Recent content by Ngotty

  1. Ngotty

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa Samaki: Pata ushauri, mawazo na michango kuhusu ufugaji samaki. Jifunze changamoto, utaalamu na masoko ya Samaki

    Wapebdwa habari. Ni wapi ninaweza kupata liner za kuweka kwenye bwawa la samaki.
  2. Ngotty

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Mbwa.

    Ninatafuta Mbwa dume pure breed.
  3. Ngotty

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mbwa aina ya German Shepherd au Pitbull (Dume na Jike)

    Bei gani na wana umri gani mkuu
  4. Ngotty

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa Samaki: Pata ushauri, mawazo na michango kuhusu ufugaji samaki. Jifunze changamoto, utaalamu na masoko ya Samaki

    Asante sana kwa Elimu nzuri. Mungu akubariki sana. Je kina kinatakiwa kiwe mita 3?
  5. Ngotty

    JamiiForums Tanzania Tanzia: Moto waua watu sita Kitunda, Apona mmoja tu aliyekuwa matembezini usiku!

    Sina taarifa kwa kina ila ni watu ninaowajua sana. Wamefariki Mume, Mke na wajukuu. It's so Sad.
  6. Ngotty

    JamiiForums Tanzania Tanzia: Moto waua watu sita Kitunda, Apona mmoja tu aliyekuwa matembezini usiku!

    Duh!! RIP David Mpila na Familia.
  7. Ngotty

    JamiiForums Tanzania Nahitaji shamba

    Hili la barabarani nitalipenda, Pls Ningependa kujua bei.
  8. Ngotty

    JamiiForums Tanzania Nahitaji shamba

    Huku Hapana Ndg Yangu. Napenda maeneo ya Msata Bagamoyo.
  9. Ngotty

    JamiiForums Tanzania Nahitaji shamba

    Ninataka nyingi zaidi Ndg Yangu.
  10. Ngotty

    JamiiForums Tanzania Nahitaji shamba

    Ninahitaji shamba heka 15-30. Kati ya Kiwangwa na Msata. Lisiwe mbali na Barabara kuu. Kama unalo Ni PM.
  11. Ngotty

    JamiiForums Tanzania Brand new LG G2 inauzwa

    Bei gani Ndg.
  12. Ngotty

    JamiiForums Tanzania Hd digital camera for sale(gopro hero 3)

    Naomba uweke picha ndg
  13. Ngotty

    JamiiForums Tanzania Mchanganuo wa Biashara (Business Plan) - REQUESTS

    Asante sana. Nashukuru
  14. Ngotty

    JamiiForums Tanzania Mchanganuo wa Biashara (Business Plan) - REQUESTS

    Shukrani sana. Nimelipenda sana darasa. I will practice.
Back
Top Bottom