Recent content by Ngosha_Icon

  1. N

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Ok, napatikana Dar es salaam wilayani temeke mtaa wa Yombo Reli ni nyumba ya mwenyekiti na namba zake za cm ni hizi hapa 0713341659,, Tunatarajia response yenu very soon
  2. N

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Nyumban kwetu tuna meter ya luku ambayo imefungwa muda mrefu tangu mwaka 2008 na imefungwa nje ya nyumba huwa inatupa shida sana wakati wa kuingiza Unit mpya, Swali la msingi ni hivi kuna gharama yoyote kubadili meter Luku na kuwekea meter inayoendana na technolojia ya sasa hivi.
  3. N

    JamiiForums Tanzania Wanaume wenye Upara ni hatari kitandani!

    Kuna tofauti kubwa kati ya upara na uwalaza mtoa post cjui umelenga ipi
Back
Top Bottom