Wanajamvi wenzangu kwema? Je nawezaje kutengeneza bet builder yaan kuchanganya option mbalimbali kwenye kampuni ya Melbet naomba mwenye idea anielekeze
Hivi wale jamaa wanaounga bando la internet Kwa siku 14 alafu linajirudia Kwa mwezi unaofuata ni kweli hicho kifurushi kipo na kinafanya kazi? au nataka kupigwa na kitu kizito wadau? Nielewesheni juu ya hili
Wakuu natumia 22bet ila nikiweka option mbili kwenye mechi moja naambiwa "interrelated bet" ko inakataa kubeti mfano man city ashinde kwenye magoli alafu na kona pia ashinde,wakuu nifanye nn ili niweze kubet option hata mbili kwa mechi moja?
Kuna option nimeiona kule 22bet inasema "digit in the score" nikiweka NO kwa 0 digit upande wa corner, foul, thrown au goal, mfano nimeweka kwenye foul afu matokeo yakawa 16 kwa 10 fouls, je nitakuwa nimeshinda au lost?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.