Recent content by ngombezi

  1. ngombezi

    Mwenzenu nimetoa penzi kwa shemeji yangu bila kutongozwa, imeniuma sana

    pole kwa ajali hiyo ila wasiwasi wangu kama ulikuwa hujitambui je aliweza kutumia condom? naona hilo ni kubwa kuliko haya mengine
  2. ngombezi

    Ndoa ndoano

    kumbe tupo wengi ambao hatujaelewa
  3. ngombezi

    Changamoto zinazoleta ugumu kwa single mothers kuingia tena kwenye ndoa

    ni woga wao tu usio na msingi mtu uachane nae halafu umrudie kwa lipi? mimi mtu anaweza kunishawishi akisema anaogopa majukumu ya malezi ya watoto lakin kurudiana hapana
  4. ngombezi

    Changamoto zinazoleta ugumu kwa single mothers kuingia tena kwenye ndoa

    bora ulivyomjibu ww maana mimi nilishindwa nianzie wapi asante
  5. ngombezi

    Makosa 10 wanayofanya wasichana kwenye mahusiano

    yaani hata ww umeandika vema sana kila mtu ana namna ya kumpima mtu hivyo uko sahihi sana
  6. ngombezi

    Makosa 10 wanayofanya wasichana kwenye mahusiano

    nakupa likes nyingi tu umenena ya maana na umemaliza kabisa yaho ndo ya msingi
  7. ngombezi

    Mwanamke usiende kwa mume mpya na mtoto uliyezaa kabla

    watoto wangu ni kila kitu kwangu hivyo mume ananihitaji mwanzo tu nampa historia yote hivyo akitaka akubali hataki aniache na maisha yangu siwezi kimbilia ndoa nikaacha wanangu
  8. ngombezi

    Mwanamke usiende kwa mume mpya na mtoto uliyezaa kabla

    nakubaliana nawe wapo watu wana moyo wa kulea watt wa wenzao na hasa inahitaji moyo wa mtu haya mengine ni sababu tu ila kiukweli mtu kama huyo hata mtoto wa ndugu yake hataweza kumlea maana hapo kinachoogopewa ni mzigo wa malezi na unapoamua kumsaidia mtu usiangalie malipo toa kama tunavyotoa...
  9. ngombezi

    Mwanamke usiende kwa mume mpya na mtoto uliyezaa kabla

    usisemee nafsi za wenzio kama wewe huwezi wapo wanaoweza na kingne mpaka watu wanafikia kuzaa na kuachana lazima zipo sababu zilizopelekea hayo na laiti tungekuwa ni wenye kujua nini kinatokea mbelen kila mtu angekuwa makini kutofanya makosa sema mara nying kunakuwa na sintofahamu yanayopelekea...
  10. ngombezi

    Mimi nina masters nataka kuoa Darasa la saba

    hilo nalo neno unaweza kuwa na elimu ya darasani ukakosa elimu ya maisha
  11. ngombezi

    Ninawauliza Swali: Eti Kuna mama wa kambo mzuri duniani? Ninawaombeni munijibu swali langu

    tatizo sio mama wa kambo ni roho mbaya tu za wahusika mimi nimelelewa na mama wa kambo toka nikiwa na miaka 4 tena tulikuwa mapacha hata baba alipofariki mama yule hakuturudisha kwa mama yetu alitulea vizuri tu
  12. ngombezi

    Kumbe ana mtoto nimemuacha na nimemfukuza

    asimuoe atamsumbua binti wa watu hana sifa za kuwa mume huyo
Back
Top Bottom