Recent content by Ngolengosha

  1. N

    Nishati na madini Count down: Maamuzi mazito yanakuja

    Ngeleja pole sana ila ulitakiwa uzingatie integrity and honest ukiwa km kiongozi wa wizara, haiwezekani Katibu adanganye na useme hayo ni makosa ya kibanadamu, Masuala haya ya kudeposit 50 million unayaelewa kabisa, mimi naona upige chini tu mzigo ngosha mwenzangu huna jipya kama Karamagi...
  2. N

    Kuzirai kwa baadhi ya wananchi wa Igunga kutokana na kujiuzulu kwa Rostam!!

    Hii inaonyesha how Tanzanians tulivyo na huruma na wabadhirifu wa mali za Umma, so sioni haja kuendelea na mjadala wa kujivua gamba coni nia ya dhati ya kuwatosa mafisadi.
  3. N

    Katika vita hii hakuna atakayepona ccm

    Nakubali kabisa, lakini kilichonishangaza hawa ndugu zetu wa Igunga kwa kumwaga Mashozi hadharani, kwa kweli nimesikitika sana pale watu wanapoamini hakuna mtu mwingine atakayeleta mambo mapya hii ni hatari sana, huruma yetu ndiyo inafanya maisha ya MTz yanazidi kuwa magumu kwa kuwakumbatia wezi...
Back
Top Bottom