Recent content by Ngoheranga

  1. N

    Jeshi la Polisi lapekua nyumba ya Boniface Jacob, laenda na GJ Malisa Moshi kupekua nyumba yake

    Ni kweli kama alivyosema Wakili Msomi, Peter Kibatala, "we need a Police, to Police the Police"
  2. N

    Simba Day nzuri sana, lakini......

    Kama mdau wa soka jana nilifuatilia na kufurahia sana sherehe ya wana-simba ambayo kiuhalisia ni tukio waliolianzisha miaka kadhaa iliyopita na linaloendelea kukua mwaka hadi mwaka. Si ajabu pia kuona miaka michache iliyopita watani wao wa jadi, Yanga wakaanzisha nao Wiki ya Yanga yenye maudhui...
  3. N

    Titus Amigu: Maneno uchawi au mchawi kwa dhana za Kiafrika hayastahili kuwamo kwenye Biblia

    Natoa rai kwa wana JF wenzangu, yanapotokea maandiko kama haya ambayo yanahitaji "critical thinking" basi tuwe critical thinkers kweli na tuache uvivu wa kusoma na kutafakari. Inashangaza baadhi ya comments mpaka unajiuliza anaetoa comment amesoma kweli andiko lote akalielewa na kulitafakari...
  4. N

    TRA mbona mnatuangusha tena walalahoi wakati mlishaanza kutufurahisha?

    Mawazo ya kimaskini hasa, unapojiona unafurahia kuanguka kwa tajiri ili ashuke mfanane, tambua kamwe Mungu hatakuja kukupa kikubwa. Utabaki na hali hiyo hiyo uliyonayo sasa.
  5. N

    Tundu Lissu ana kipi hasa katika CV yake zaidi ya kuropokwa tu na makelele ya uanaharakati

    Ili mradi unajua kuandika na unao uhuru wa kufanya hivyo basi unajiandikia tu, iwe pumba, iwe mchele ili mradi umeandika. Lakini kama kweli JamiiForum is the home of great thinkers, hebu tunapokuwa wana-JF na tuonyeshe kwa vitendo kama great thinkers, fanya research, jenga hoja itakayowafanya...
  6. N

    Ni fitina za kibiashara au ukosefu wa ubora? Kwanini gari la Masoud Kipanya mpaka leo hakuna mrejesho?

    .... sisi tunachoweza ni fitna na roho mbaya basi. NB: Na hicho ndio unachofanya, kwa vile ndicho unachoweza; fitna na roho mbaya. Duu, kukatisha tamaa, kutopenda mafanikio ya mwingine = fitna na roho mbaya.
  7. N

    Morocco kwenda Ulaya (Uhispania na Ureno) ni karibu kuliko Zanzibari na Dar (umbali wa fukwe ni 14km)

    Hivi unapo-dedicate ushindi wako kwa nchi yako ya Morocco, Waarabu na Uislamu, hapo bado kuna nafasi ya Afrika? Kwa nini hao wa-afrika wasio Waarabu wakuone ni mwenzao, vipi mamilioni ya wa-afrika wasio waislamu, watakushangilia. Ubaguzi haujawahi kumweka mtu salama. Bora kungekuwa na bara la...
  8. N

    Maana ya neno Wema hawafi ndio hii. Mzee Makamba kapotosha, Baraza la Kiswahili liingie kati

    Hivi ni lazima sana hawa wastaafu kupewa nafasi ya kuongea kwenye hadhira kama Ile? Walishakuwa na nyakati zao, waachwe viongozi wa sasa waongee, maana wanabaki kuwa Praise and Worship Team.
  9. N

    Waziri Mkuu Majaliwa na Kagera RC Chalamila Kwangu Mimi Mashujaa wa Ajali ni Marubani na siyo huyu Majaliwa Jackson wenu

    Kuna wakati nilipenda sana maandiko ya huyu anayejiita Gentamicin, ila kwa sasa hivi napata mashaka kwamba huyu ndie yule niliekuwa namshabikia au kuna mtu anatumia tu jina lake. Marubani wanapaswa kupewa credit kwa nafasi zao na kwa ujasiri wao, lakini Majaliwa nae Kuna alichokifanya kikasaidia...
  10. N

    South Africa wanavyotunanga kwa zawadi ya shujaa Majaliwa

    They laugh about the amount given to the guy because to them, the value of human life is compared to the amount of money given to the guy. No amount of money would be equivalent to the lives of the 19 dead people and the 24 lucky survivors. When Majaliwa tried to rescue his fellow citizens, I am...
  11. N

    Serikali hongereni kwa kukwepa lawama ya uokoaji manusura wa Ajali ya Bukoba kupitia kupewa zawadi muokoaji Majaliwa

    Limeshakuwa suala la kitaifa sasa kumpongeza Majaliwa, ni sawa kwa vile ameonyesha ujasiri ambao hata baadhi ya askari hawanao. Lakini pongezi kwake zisiondoe ukweli wa mapungufu ya vyombo vyetu katika uokozi. Nimekuwa najiuliza swali moja, hivi kwa mfano Ile crane iliyotumika leo kuitoa ndege...
  12. N

    Ndugu tujadili kwa kina; Je dogo alikosea kubomoa mlango au alikuwa sahihi?

    Hebu tuwe wa-wazi, wewe unaehoji sasa bado hujaona kitendo kikubwa cha ujasiri kilichofanywa na huyo kijana? Taarifa zinaonyesha kitendo chake ndio kimerahisisha watu 24 kuokolewa, unataka nini, au ionekane kuwa kitendo chake ndio kimesababisha zaidi maafa badala ya faida? Hebu tuishie...
  13. N

    'On a Serious Note' Haji Manara asaidiwe upesi 'Kisaikolojia' kwani anaanza 'Kuwehuka' na Kujidhalilisha hadi Kuwadhalilisha Waliomuajiri

    Pamoja na yoote huwa ni ngumu sana kuficha aidha mapenzi au chuki kwa mtu. Mengine ni makosa tu ya kibinadamu ambayo wala hayahitaji mjadala mreefu.
  14. N

    Mambo yanayonikasirisha Kanisani

    Kabla swali halijamfikia Padri utadakwa na "wafia dini"
  15. N

    Mambo yanayonikasirisha Kanisani

    Kabla swali hali folia Padri utadakwa na "wafia dini"
Back
Top Bottom