Habari,
Pole Kongosho ama Pangrease
Kuna makundi makubwa ya manne ya tabia za watu, ambayo huchangamana ,mix na kuunda makundi mengine madogo manane. Kila mtu hujikuta akaangukia ktk kundi fulani ama lingine.
Kwa wastani watu wengi hujikuta wakipendana makundi tofauti, ndo huleta ukamilifu...