Recent content by Ngiriwater

  1. N

    JamiiForums Tanzania Mishahara haijapanda hata senti moja , nini maoni ya vyama wafanyakazi?

    Ulifanikiwa boss na mm nianze mchakato
  2. N

    JamiiForums Tanzania Kuhusu kuuawa Hayati Mzee Ali Kibao, Mwandishi nguli wa Habari za Uchunguzi Bollen Ngetti ameandika haya, inafikirisha!

    ni ipi hukumu ya muhaini au gaidi kwa mujibu wa sheria? kutekwa? kupigwa na kumwagiwa tindikali? kuuwawa kinyama? kama haijakufika au katika familia yako bhs huwezi elewa utabaki kuandika makala ya ajabu kama haya
  3. N

    JamiiForums Tanzania John Mnyika: Kiongozi wa CHADEMA Mzee Ali Mohamed Kibao, adaiwa kushushwa kwenye Basi na kuchukuliwa na watu wasiyojulikana

    CHADEMA wanatoa wapi silaha za moto? SMG na ma AK47
  4. N

    JamiiForums Tanzania Anaefahamu ada Makerere University

    2,044,056 ugx per semister or 40,88,112 ugx per year
  5. N

    JamiiForums Tanzania Rastafari na elimu

    Hivi ni kwanini Serikali na jamii isiruhusu watu wa jamii ya Rasi (Rastafari) kuruhusiwa kusoma na nywele zao hasa katika ngazi ya elimu ya chuo? Waruhusiwe kusoma na kupractise medicine ( Udakitari wa Binadamu).
Back
Top Bottom