Recent content by ngichinwe

  1. N

    Zanzibar 2020 Maalim Seif, punguza ukali wa maneno kutunza heshima yako

    Kama.kweli ni makhanith wasiitwe..?
  2. N

    Uchaguzi 2020 Unafahamu kwanini CHADEMA imekataliwa Dar?

    Kadanganye watoto...bure kwa lipi?bashiru alilalamika hadharani kwamba mnawalipa hela nyingi
  3. N

    Uchaguzi 2020 Unafahamu kwanini CHADEMA imekataliwa Dar?

    Kinachofurahisha zaidi ni kwamba bashiru kwa kinywa chake alisema hawatotumia wasanii uchaguzi huuu...masanii yalivyo mazombi yamejikusanya yoooote IPO Dodoma..wanashindana kujipendekeza
  4. N

    Uchaguzi 2020 Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) limesikitishwa na kitendo uongozi wa CHADEMA kuwakemea na kuwafukuza watangazaji wake

    Mamilioni unayozungumzia ni yapi hayo.? Na wangefikiwa vipi kama kile kilichomuhimu wanakikata hawarushi..nikabaki najiuliza watazamaji wanapaswa kusikiliza mkutano wa chadema au kuwasikiliza wao
  5. N

    Gari dogo lagongana uso kwa uso na gari la mizigo. Madereva tuwe makini sana

    Moja ya binadamu wanaokera kupita maelezo ni hawa trafki..yaani wao wamekaa kirushwa rushwa always.yaani makosa mengine ya kupewa inyo na kuelekezana wao wanakomaa ili utoe hela..MTU unapigwa tochi hatua mbili baada ya kibao tena uko kwenye speed below 60 ..maana kuna baadhi ya vibao...
  6. N

    Gari dogo lagongana uso kwa uso na gari la mizigo. Madereva tuwe makini sana

    Yaani tena hawa wawili wa mwanzo..Subaru na alteza ..yaani usiombe kukutana nao..ni watu wa Fuji always..ni zinawaua kinyama
  7. N

    Gari dogo lagongana uso kwa uso na gari la mizigo. Madereva tuwe makini sana

    Mimi nina ist na Mara nyingi nafanya nalo safari ndefu..swala LA kwanza ikabidhi safari mikononi mwa Mwenyezi Mungu akuongoze kufanya maamuzi sahihi. Pili jitahidi kutokuwa na haraka wala papara..yaani epuka league za kijinga. Tatu usiamini MTU yeyote yaamini macho yako. Tatu usilipite gari...
  8. N

    Gari dogo lagongana uso kwa uso na gari la mizigo. Madereva tuwe makini sana

    Iliwahi nitokea nikitoka tanga .kuna kinjia kabla ya kufika segera pameachia kidogo ..basi nikaomba kulipita gari LA mbele nikapiga hesabu na kujiridhisha Niko Salama kulipita..basi wakati nalipita nikashangaa jamaa kaongeza mwendo nae..nikaona isiwe tabu nikarudi kati nikatulia maana nikaona...
  9. N

    Gari dogo lagongana uso kwa uso na gari la mizigo. Madereva tuwe makini sana

    Umeongea jambo LA msingi sana..yaani hakuna kitu cha msingi kama kwanza kujua unayemu overtake yuko ngapi na uwezo wa gari yako..na usalama wa mahali husika..ukizingatia hayo unafika salama
  10. N

    Gari dogo lagongana uso kwa uso na gari la mizigo. Madereva tuwe makini sana

    Kamwe usifanye huo mchezo..kama una haraka sana basi mwenzako akichomoka we usimfwate nyuma..kaa kati ya Barbara ujiridhishe au usubiri apite kwanza au toka nje ya bara bara uweze kuona mbele..ukijiridhisha mfwate...ila usibahatishe au kumfwata mwenzako kamwe..always kumbuka kuna kifo au ulemavu...
  11. N

    Gari dogo lagongana uso kwa uso na gari la mizigo. Madereva tuwe makini sana

    Huwa nikiwa njiani nawaza na kusikitika sana..najiuliza hawa madereva wenzangu roho wameacha nyumbani au wakifa wanafufuka..magari madogo mengi na mabasi wengi wao wapo rafu sana ..muda wote harakaa...yaani MTU ana overtake pasipo takiwa ..yaani wakati mi naingia kati baada ya kuona kona au...
  12. N

    Suala la Bank kama CRDB kufungua ofisi leo

    Msichojua ni kwamba huwa siku kama hizi hawaji staff wote. Ni kwa zamu na ni kwa sababu za kibiashara.we ukipumzika sikukuu wwngine wanatengeneza hela
  13. N

    Kinyomi cha Lissu ni kitone kwenye nyomi la Lowassa 2015

    Kuna kitu hujakifahamu vizuri.upashanaji wa habari kwa vyama vya uspinzani nowadays ni ngumu sana..kipindi cha jk alijitahidi kutokuvibana vyombo vya habari kurusha habari za upinzani..lakini siku hizi habari za wapinzani wazipata wapi zaidi ya online tena kwa wachache..maredioni wala kwenye TV...
Back
Top Bottom