Recent content by Ngiama

  1. N

    Hili bango limenifanya niwaze sana, una maoni gani?

    Hapa lazima uwaze na kichwa kikuume!! inaonyesha ni jinsi gani watu tunavyokurupukia mambo ya watu. Hawakupata muda hata wa kutafakari ni nini wamelenga kwa maandishi yao katika bango!! Ni hatari sana, Je? wale Walibya waliokufa kwa kushambuliwa na majeshi ya Gaddafi walipaswa kuendelea kuafa?
  2. N

    msaada kwenye breki.

    Ni vema na haki kustop kama hamjaoana. ilamkama mko katika ndoa basi anakuvutia kasi wewe kua mpole tu. Jitahidi usiwe na kiu mana unaweza kunywa acid badala ya maji!!
  3. N

    Ni Nini Hasa Mwanamke Anahitaji?

    Inawezakana kabisa kuna tatizo la kutoridhika kwa mwanamke hasa katika tendo la ndoa!! haya mambo ya kibaolojia yanaleta tabu sana katika ndoa za sasa. Zamani wazee walikua hawana wanalojua zaidi ya kudumu katika ndoa zao, siku hizi luninga na ,mitandao imepelekea watu kujua mambo mengi ya...
Back
Top Bottom