Wana jamvi wenzangu nisaidieni katika hili, kwasababu ukienda mashuleni wanakodai wametuma unaambiwa hawajapelekewa. Kama kuna anaye jua undani wa jambo hili naomba anifahamishe.
MKAPA sasa umeamini kuwa Vicent Nyerere ni familia ya Nyerere, ona alivyo kugalagaza siku nyingine magamba yakikuita kufanya kampeni kataa na ukae ukitumbue yale mahela uliyotuibia ukiwa president. Hongere NASSARI (MB)
hii nimeipenda kwa maana walimu hasa wa kike huwa wanakiherehere sana kushabikia chama tawala eti wakidai kinaongozwa na hendisome boy. Sasa kama mnataka ukombozi wa kweli achaneni na tabia yenu ya kuchakachua kura zetu na kuifanya ccm kushinda. Saa ya ukombozi ni sasa.
Mimi sioni ubaya wowote kwenye kamati hii. Kamati ni nzuri yenye wasomi wazuri wa sheria kama akina Prof. Safari kwahiyo tutegemee mambo yataenda vizuri.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.