Mapambano lazima utumie hekima.Lazima uusome mchezo.Wewe huwezi kumwajibisha MTU unayelingana naye.Baada ya kuona Makonda kachemka,angeshauriana na viongozi wake wa juu.We unamwona pacha wako nyumbani amekosea unamchapa kwanza ndiyo unaenda kuwaeleza wazazi!!.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.