Search results

  1. N

    Taarifa ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) kwa vyombo vya habari Upanga Dar es Salaam

    Demokrasia?.Jamaa wakale wapi.Jamaa wanatafuta ajira za watoto wao na ndugu zao.Wajinga ndio waliwao.
  2. N

    Kwa shujaa huenda kilio kwa mwoga kicheko

    Anyway,Mimi sijafundishwa kutukana
  3. N

    Kwa shujaa huenda kilio kwa mwoga kicheko

    Matusi ya nini?.Tujadili hoja.
  4. N

    Kwa shujaa huenda kilio kwa mwoga kicheko

    Mapambano lazima utumie hekima.Lazima uusome mchezo.Wewe huwezi kumwajibisha MTU unayelingana naye.Baada ya kuona Makonda kachemka,angeshauriana na viongozi wake wa juu.We unamwona pacha wako nyumbani amekosea unamchapa kwanza ndiyo unaenda kuwaeleza wazazi!!.
  5. N

    Kwa shujaa huenda kilio kwa mwoga kicheko

    Bila Magufuli CCM ilikuwa inapigwa asubuhi na Lowassa.Je,kwa sasa Membe amepata nguvu kiasi kwamba Nape anataka wajipange kwa 2020?
  6. N

    Nani aliijenga CCM kati ya Nape na Makonda?

    CCM wana mbinu ya kujifanya wanagombana gombana ili kuzubaisha upinzani
  7. N

    Nani aliijenga CCM kati ya Nape na Makonda?

    Wote hawa wamepata umaarufu kwa kumtukana Lowassa.Jamani hawa jamaa in wajanja.Wanatuchezea akili zetu.
  8. N

    Kwa shujaa huenda kilio kwa mwoga kicheko

    Kusema kweli Nape ndiyo anapotea hivyo kisiasa.Watu watamshangilia kama shujaa lakini ndiyo kwa heri mwalimu.Hasira hasara
Back
Top Bottom