Katika kupambana na adui yako lazima umnyong'onyeze na kumpoteza kabisa, hivyo inatupasa kumnyong'onyeza CCM na kuhakikisha hainuki na hadi kufikia kipindi ambacho wanachama wake woote watakuwa hawana kadi, na hapo ndipo utakapokuwa mwisho wa ngonjera hii inayotusumbua.
Duh, Kalinzi unanikumbusha Form One Mapesa Methew, Alikuwa Akisema Kyabakali - Tarime ni JIJI la noma....Ndo upeo wa Kalinzi nae ulipo. For your information nimezaliwa Kakonko, nimesoma chekechea pale Mission nikichezea mitaa ya Kanyonza,Kizinda na Muganza. Stand ambapo gari zinapopaki ndio...
Kakonko ilikuwa Wilaya ya Kibondo na sasa ndo imepewa hadhi ya kuwa wilaya. Mshika pembe usiyejijua, hembu tufahamishe hapo Kakonko kuna kata ngapi? Kwa nini Alianzia Muhange Mkutano wake? Na hiyo Kakonko iko jimbo gani??
Nyamba*****f**** kwa kuandika ujuha wako hapa.
Katika Maisha ya Zitto...
For sure you are right. Kuna kijana mmoja yupo hapo nimewasiliana naye baada ya kuona upuuzi uliosambazwa na Tuntemeke, akaniambia kuna muundo mbinu ulioasisiwa na ma CCM wakishirikiana na Wadau wao wanaofikiri bila Zitto hakuna anayeweza kusikilizwa ndani ya Kibondo but ulichemka. For sure...
Msalani kama jina lako, naomba kama unatumia akili kufikiri na sio mak....io naomba unambie kijiji cha Muhange kina umma kiasi gani?
Pili shangilia kwa vile enzi za Chadema unayoitaka wewe zimekwisha sio kulia lia....
Muhange Diwani wake anaitwa Bw. Charles na ni diwani wa pekee toka Chadema...
Nadhani mleta mada hapa katumia makalio kufikiri na kuamua. Mimi ni mwenyeji wa Kigoma. Nadhani ni vyema angetambua kuwa kwa wastani wa 901,500 kwa siku ni pesa ambayo nadhani haifikii aliyokuwa akitumia Kinana kwa siku kusini. For sure kama hiyo ndo budget, nadhani ameshindwa kujua anamwongelea...
Lema utabaki kuwa Lema, najua CCM wanakuogopa na wanachechemea na kuchuchumaa popote pale wanapoujua uhai wako. Najua wanatamani laiti kama leo ungelifariki, Nami ninakuombea kwa Mungu upate kuishi maisha marefu zaidi ya aliyoishi Kingunge na Lowasa upate kuwapa watu uwezo wa kujitambua na...
Nadhani akili kubwa na ndogo kila siku zinazidi kuwa wazi.... Hakika unaweza kuwahadaa watu siku zote lakini ni vigumu sana kuficha asili yako mara zote. Nimekuelewa, nimekupata...... But what is your position in this matter ukiwa Makamu Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni, vile vile ukiwa...
Kesi ya Serukamba ilichakachuliwa na ikaisha sasa hakuna kesi, labda mleta uzi hapa ana muundo mbinu mwingine wa kuibua kesi huku. But atambue kuwa akizidisha tuu hakuna hata mende atakayepona kwao(Akiba ya akili nampa)
Ombi la mkubwa ni amri kutekelezwa kwa yule anayeombwa.
Ole wake atakayeshindwa kutoa atatembelewa usiku na mchana na ofisi zoote za serikali kumkagua, na ukilipa chema, utapiga picha na Bwana mkubwa na from there kila kitu kwako kitakuwa tambarare.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.