Recent content by ngendabanka

  1. N

    Rais Samia awamiminia vyakula wakazi wa Rufiji

    Wewe Mbwa Wa Shamba una matatizo,hivi huyo raisi wako unayemsifia mara kwa mara hizo fedha anatoa mfukoni mwake ?.Hiyo ni kodi yetu,pumbafu kabisa.
  2. N

    Makonda: Hakuna nilichojifunza, nitawanyoosha. Wasiopaka rangi nyumba zao katikati ya Mji TUTABOMOA

    Daud Albert Bashite hawezi kujifunza chochote ni jinsi gani aongoze,bado anadhani ni ule utawala wa Jiwe uliokuwa unambeba licha ya kuwa na mapungufu mengi.
  3. N

    Hii ni Breakfast ya 1500. Akili mtu wangu!

    Kwa hiyo ulitaka maharage yachemushwe na mkojo badala ya maji ?.
  4. N

    Kuhani Musa akutana na kusalimiana Rais Samia Ikulu

    Siku hizi manabii walio wengi wamegeuka kuwa machawa wa rais.Kilichotokea kwenye sherehe ya kutimiza miaka 17 ya WRM wengi tulibaki tunashangaa.
  5. N

    Mwenezi CCM kupatikana 03/04/2024; Nani anafaa kurithi mikoba ya Makonda?

    Mbona Lucas Mbwawashamba mnamsahau ?.Safari hii nafasi apewe yeye maana ana bidii ktk kusifu na kuabudu.
  6. N

    Umri miaka 91, Paul Biya Mitano mingine: tuendelee kujifunza

    Jibu swali Chadema iko bara gani ?.
  7. N

    Dkt. Nchimbi: Rais Samia anaungwa Mkono na wana CCM wote

    Mimi ni mwana CCM,lakini sitaki kusikia habari zake.
  8. N

    PreGE2025 Kuhusu Elimu: Nini sifa za mgombea Urais 2025?

    Kwa hiyo Hangaya hana sifa ya kugombea urais ?.Kama ni hivyo basi kwenye Chama cha Mambuzi kutawaka moto,maana wengi hiyo nafasi wanaitaka.Habari hii iende moja kwa moja kwa Lucas Mbwa wa shamba.
  9. N

    Ni laana kwa familia ya Mbowe kuwadhurumu waandishi wa habari wanyonge

    Wewe Mwashambwa mimba ya Mbowe itakuacha hoi.Mwamba amegoma kukupa hela ya matumizi.Mwaka huu utakoma,chawa mkubwa. .
  10. N

    Kwani akishinda 2025 ndio uthibitisho kuwa anakubalika? Mmesahau Jakaya alivyopigika 2010 akabaki kusingizia udini

    Tangu mfumo wa vyama vingi uanze,CCM haijawahi kushinda kwenye sanduku la kura.Wanatumia vyombo vya dola kuiba kura .
  11. N

    Mbowe hawezi kukwepa lawama za kukosa adabu na kutukana matusi ya nguoni kunakofanywa na vijana wake wa CHADEMA

    Huwezi kupata uteuzi wa aina yo yote kwa sababu wameshagundua kwamba huna akili .Ulikuwa unaweka namba ya simu kwenye kila mada ili upigiwe,lakini kwa kuwa wewe ni chawa mpumbavu waliamua kukupuuza.
  12. N

    PreGE2025 Rais Samia atenga siku moja kila mwezi kusikiliza kero za watanzania

    Hivi hizo kero za wananchi ina maana huyo raisi wenu hazijui ?.
  13. N

    Ujumbe wa Tundu Lissu kuhusu Hayati Ally Hassan Mwinyi

    Kwa jinsi lugha ya Malkia ilivyoharibiwa,sidhani kama aliyeandika na kutuma hiyo post ni Lissu.
  14. N

    Baadhi ya Watanzania wanyonge maeneo mbalimbali wampigia magoti Paul Makonda kumuomba arejee mitaani kuendelea na ziara

    Hivi wewe Mbwa wa Shamba utaacha huo ujinga wako lini ?.Unakera na hizo mada zako za kipuuzi.
  15. N

    Naibu Waziri Mkuu Dotto Biteko amesema kuwa serikali haiwezi kusema ni lini mgawo wa umeme utakwisha

    Huyu mshamba ameacha kuweka namba ya simu au ameona hawampigii kwa ajili ya uteuzi ?.
Back
Top Bottom