Hatelezi ni ukweli mtupu. Watu walidiriki kusema waislam bwana yaani ni watu legelege hawakutaka kujua wala kutambua amefanya kwa Tz yke. Alibezwa kwa kila jambo
Ni
Ni kweli yupo zaidi ya miaka 20 jambo la kujuuliza anayoyafanya sasa ndio yanafanywa kipindi cha hiyo miaka 20!?
Je amefuraishwa na yaliyokuwa yatendwa kwa hiyo miaka? Je upi ungwana kukuri palipo kosewa!? Au kuficha mabaya yaliyotendeka. Tuache Unafiki na Uzandiki JK ametusiwa na...
Uandishi wako ni Too Political oriented. Mkulima anakulazimishje ununue? Anajuaje kama wewe una pesa? Ona majibu yako Ninahaki ya kufanya biashara mahala popte hoja c kufanya biashara popote bali namna gani unafanya hiyo biashara. Lakini uandishi wako ni wa Kusadikika style
Niko kazini kwa miàka kumi sasa, ajira yangu kwa bahati nzuri haina makandokando ya posho na madili.
Nimejenga nyumba nzuri tu mwanangu wa kwanza yupo gredi four nalipa ada kwa mshahara huu wa mwaka 2014 wa JK.
By the way kwakua hampendi ukweli ngumu kuelewa ndio maana kwakua uko kwa bro...
Tuache unafiki kama huu mshahara wa mwaka 2014 ungekua hauna tija watumishi wangeacha kazi.
Wameondolewa walio ghushi vyeti mnapiga mnataka waachwe kuwa watumishi wa kwa mshahara wa mwaka 2014.
Usitafute huruma ya JK zama zake kwisha.
Tatizo letu tunakopa kupitiliza na kuona kinacho baki...
Mnaomba kweli na kufurahia mambo ovyovyo. Bahati nzuri mungu hana maombi ya ubaya. Piga kazi JPM. Jema LENU ni kuharibikiwa kwa JPM. Mtasubiri sana sio ndege mengi atashinda.
Tupishe. Huna msingi. Kama unafikiri kupata cheti cha form IV ni rahisi kwa nini ulisoma form Six na degree ukaacha hiki?
Kwa sasa utatoka tu hakuna namna. Ukisoma na kufaulu elimu ya Secondary utaomba ajira upya ukiwa na sifa stahiki
Kama hojo ni kupunguza wafanyakazi isingetangaza ajira mpya ya watu 15,000 na hiyo ya watu 52,000 ya 2017/18.
Ya wezekana we umedurufu chako Buguruni, na hujui ugumu wa cheti cha form IV.
Kwa nini ufoji cheti cha form IV alafu usome degree!? Kama we kipanga risit baba ung'oe chako.
Studying...
Walio kuzwa kwenye ouvu utawajua tu hawajifichi.
Mulibeza Serikali ya Uhakiki tu hii, hawana hela ndio maana hawaajiri.
Uhakiki umekwisha oooh Wakurupukaji tu hawa.
Kama ulighushi cheti wapishe walio kisomea, kama uli share cheti muache mwenye nacho adumu kwenye ajira.
Jamani jambo liko...
Sikia ndugu yangu usitafute HURUMA kwa vitu ambavyo viko wazi.
Kama kweli dada yako amesoma kwa kiwango hicho cha Elimu iliyoitaja, asingekutuma kuandika haya hapa. Ukipoteza cheti Hujapoteza Uhalali wa kiwango cha elimu husika. Nenda Polisi utapewa Loss report then peleka hiyo Loss report...
Tuwe tunasoma taarifa vizuri.
May, 10 Sio uhakiki mpya unaanza bali majina ya watumishi wenye vyeti feki kutoka katika wizara za Serikali yatatangazwa. Haya yaliyotangazwa awali yalihusu, Mashirika na Taasisi za Serikali na Halmashauri.
Kwa hiyo sio UHAKIKI MPYA
Maelezo yako wazi wewe umetishwa nini !?kwenye huo ufafanuzi. Peleka cheti chako halisi.
Mbona mie nimesoma huko kwetu Kipatimu na mimehakikiwa niko okey.
Tulianza kwa kubeza oooh UHAKIKI mwaka mzima Serikali hii HAINA Hela ndio maana kila kukicha uhakiki.
Hapakuwepo na aliyewahi sema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.