Nendeni ni muhim sana, unakuwa active masaa yote. Untumia silaa so unazijua vizuri popote ukiziona. Unaenda renji kufanya shabaa na risasi za moto kitu ambacha huwezi kukifanya uraiani. Jeshi lina raha yake
Mwaka Jana nilipangiwa BUROMBORA KIGOMA, nimeona hayo mambo. Na kulikuwa na madada wengine hawakuguswa kwa kuwa walikubali kukabiliana na kila hali ktk nyanja zote yaani kazi za nje na kazi za kijeshi. Mafunzo magumu ndani ya wiki sita baada ya apo bata tu.
Ngoja mm nichangie kidogo, madada zetu huwa hawabakwi ila wana achia wenyewe kutaka feva ya kozi. Madada huwa hawapendi kazi ngumu. Na jeshi ni kazi masaa 24 hakuna kulala.ilo linawapelekea madada kuwapa maafande ili wapate unafuu wa kozi
Aende wizarani kwanza zen ataambiwa cha kufanya. Mara nyingi ikitokea kama ivyo huwa anaambiwa sense ktk while alizisoma alafu apewe barua ya uthibitisho kuwa alisoma pale
Habari Jamiiforums!
Nahitaji kuaply diploma ya ualim, lakini pale kwenye categories kuna NTN6 NA NTN7 mm ni fresh from school, nifanyeje? Au kuna categories zingine sijaziona.
Naomba msaada
Mambo vipi wana JF, mwenzenu nimekwama. Naitaji kuomba nafasi ha kusomea ualim lakini mila nikiingia kwenye system za appl. Categories ninazoziona no NTN6 na NTN7. mm Nina cheti tu cha 4m4. He nifanyeje. Nisaidieni niapply
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.