Recent content by NGAYANIMO

  1. NGAYANIMO

    Msanii Kigwema

    Ukwaju wa kitambo Leo nimebahatika kukutana na msanii Kigwema Bosco kwa jina Maarufu anafahamika kama kigwema. Ni msanii wa zamani wa Bongo Fleva. Naimani unatamkumbuka kwa ngoma kali kama Vile Binti Skendo na Ngoma nyingine inaitwa " Sitomsahau ft Marlaw,".Nimekaa naye akanisimulia safari...
  2. NGAYANIMO

    Watu pori- Ulibisha hodi

    " WATU PORI "- ULIBISHA HODI BONGO RECORD Intro : Yeah. ulibisha hodi Oooh ..!! Aaah..!! Nikafungua Yeah..!!! Ulibisha hodi Ng'o..!!! NG'o..,!! Verse.. 1 " Dogo Ditto" Kinachoniumiza ni Huyo Mtoto/ Maana Mtoto Sio jambo dogo/ Nilimtafuta bwana Mungu Akanipa/ Hakika Sasa Naipata Chungu...
  3. NGAYANIMO

    Ulibisha hodi - Watu pori

    " WATU PORI "- ULIBISHA HODI BONGO RECORD Intro : Yeah. ulibisha hodi Oooh ..!! Aaah..!! Nikafungua Yeah..!!! Ulibisha hodi Ng'o..!!! NG'o..,!! Verse.. 1 " Dogo Ditto" Kinachoniumiza ni Huyo Mtoto/ Maana Mtoto Sio jambo dogo/ Nilimtafuta bwana Mungu Akanipa/ Hakika Sasa Naipata Chungu...
  4. NGAYANIMO

    Watu pori - Ulibisha hodi

    " WATU PORI "- ULIBISHA HODI BONGO RECORD Intro : Yeah. ulibisha hodi Oooh ..!! Aaah..!! Nikafungua Yeah..!!! Ulibisha hodi Ng'o..!!! NG'o..,!! Verse.. 1 " Dogo Ditto" Kinachoniumiza ni Huyo Mtoto/ Maana Mtoto Sio jambo dogo/ Nilimtafuta bwana Mungu Akanipa/ Hakika Sasa Naipata Chungu...
  5. NGAYANIMO

    Hey DJ- Sister P

    Yenye mwenyewe sikiliza vizuri
  6. NGAYANIMO

    Hey DJ- Sister P

    UGOMVI WA SISTER P & ZAY B "Tangu zamani nilikuwa naficha lakini leo itabidi niseme ukweli, Mimi na Zay B hazijawahi kuiva, haziivi na haziji kuiva yaani yule mtoto hapana hatuendani, na yeye Zay B ndio hataki kunisikia kabisa" "Ugumu wa kufanya kazi ukiwa mwanamke kwenye game umezidi tofauti...
  7. NGAYANIMO

    S.O.G Alfajiri

    S.O.G - "ALFAJIRI" " SNARE, BUFF G & AY " Intro: "Ooh Mapema Mno.!! Tena Sana Sasa Tazama.." Verse.1 " Snare" Yo!! Bado Alfajiri Sasa Data na Zangu Tafsiri/ Adam Ndani Ya Game Me nitafika Mbali/ Safari Bado Mbali Ndo kwanza Tunavuka jabari/ Pata Picha Halisi Moto huu utajenga kasiri/...
  8. NGAYANIMO

    Fahamu kuhusu kundi la De plow Matz

    Tha De-Plow-Matz (mara nyingi hufupishwa kwa: DPT) lilikuwa kundi la muziki wa hip hop lililotamba sana katika miaka ya tisini . NI Kundi linaundwa na Saigon (jina halisi Saleeh Mzee), Dolasoul (jina halisi Ahmed Dola), Trip Dogg (jina halisi Philip Mwinmanji) na Storm (jina halisi Amour...
  9. NGAYANIMO

    Zaharani - Maisha na mashairi

    Verse ..3 ( zaharani) Yo! Watu wanaathirika lakini Bado hawajali/ vipi? Mnakosa fikira za kuweza kufikiria mbali/ watu wanapata shida sio siri Bado ni hatari/ mifano mingi tumeona vipi kuhusu tahadhari/ kila siku watu wanaonya ni wagapi wanajali/ nusura hakuna kupona mapema mjihadhari/...
  10. NGAYANIMO

    Zaharani - Maisha na mashairi

    ZAHARANI - MAISHA NA MASHAIRI. Verse..1. Hizi mbio sio za Baiskeri , Haiwezi kabiri Kasi/ Tahadhari usije Ukaferi , Mbuzi Amzindi Farasi/ Usiwambie Watu watakucheka/ 😄 🤣 "hahaha " Wengi wameishia Sakafuni/ Chunga usipige mweleka , Usafi wa Nafsi sio Sabuni/ Unapozungumzia Hip hop , Lazima...
  11. NGAYANIMO

    Changanya Ladha by Joh Makini

    JOE MAKINI - CHANGANYA LADHA. Namshukuru Mungu Leo Me Niko hapa , Number One Hip hop star sio Tu Raper/ The "Mcee" kwenye Em - cee , Wanakubali kwa hiyari sio kwamba Na force/ J.O.H M.K.A Ena ndani ya Sound za " Mo" Records/ Ninapotia Team Wana Disappear/ Sio Makosa Yao wananihofia...
  12. NGAYANIMO

    The Rockaz Athen

    THE ROCKAZ ATHEN "Kwenye Beat ya lamar ,Chief na Mamuu.!! Wa kitaa / Huku Natangaza njaa , The side Nakupa Raha/ Rockaz tumejimake for Real , hatupo feet/ Mabisto Si mnatucheki and this is How we make/ Breack, Tens make how we Do! Hii special kwa masela wa kitaa na Maduu/ Wanaokubali...
  13. NGAYANIMO

    Umoja wa Watanzania - Juma Nature & Professor Jay

    MUUNGANO WA WATANZANIA " JUMA NATURE & PROFESSOR JAY " Umoja wa Tanzania" ni wimbo maarufu wa Bongo Fleva uliotolewa mwaka 2003 na mkongwe Juma Nature akishirikiana na Professor Jay, ukiwa kwenye albamu ya Ugali, Uchaguzi wa kwanza wa vyama vingi uliofanyika 1958 na Tanu ilifanikiwa kupata...
  14. NGAYANIMO

    Rais wa Manzese Madee

    MADEE Historia ya Pendo, aliyekuwa mpenzi wa msanii Madee, ni hadithi ya kusikitisha ya kifo chake kupitia ajali iliyotokea miaka mingi iliyopita,Ni miaka takribani 16 Tangu kifo cha pendo kitokee.. jambo lililoacha alama kubwa maishani mwa Madee. Madee alionyesha huzuni yake kwa kutunga wimbo...
  15. NGAYANIMO

    Check navyo flow- kwanza unit "K.U"

    D. ROB " VERSE " Oh Nakuja na Check na flow hi.!!👋 Hodi hi.!!👋 oooh/ Mlango uko wapi? Kama funguo ni Elimu niwe juli kama Mwalim/ Ni funge hizi takwimu/ Yoh..!! Rap mahesabu/ Isiwe Taabu/ Watu wamekula Kitabu/ Tuseme Ma - Book / Yoh..!! Ma - kilo ya Dhahabu/ Ninachokitaka mimi ni Karatasi...
Back
Top Bottom