Kuna vyuo hapa nchini ambavyo vimekuwa na utaratibu wa kutoza faini mwanfunzi anapochelewa kulipa ada mfano mwezi mmoja au miwili baada ya chuo kufunguliwa bila kujali mwanafunzi husika ana mkopo ama anajilipia mwenyewe kwa kudunduliza visenti kidogo kidogo.Kwa mfano faini za chuo kikuu...
Nasikitika sana mkoa wangu kila mwaka tunashika nafasi za mkiani pamoja na kwamba katika wilaya nyingi darasa la saba walikuwa wakienda shule hata jumamosi na pia wamekuwa wakipiga kambi mwezi mmoja kabla ya mtihani lakini pamoja na yote hayo bado tunauvuta tu,daah! Mungu ingilia kati tumechoka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.