Recent content by Ngasea

  1. N

    JamiiForums Wakuu naombeni email adress ya Katibu mkuu kiongozi na Waziri Mkuu

    Viongozi naombeni email address za Katibu Mkuu Kiongozi na Waziri Mkuu, kwenye website zao hazipo. Aliyenayo ani inbox
  2. N

    JamiiForums Malalamiko ya wafanyakazi na wanafunzi wa Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere

    Hatimaye malalamiko ya wafanyakazi na wanafunzi wa chuo cha Mwalimu Nyerere (kivukoni) yamemfikia Rais Jakaya Kikwete. Habari kutoka Ikulu zinasema kuwa malalamiko hayo yameandikwa kwa mfumo wa barua na kuwasilisha kwa Rais na wafanyakazi wawili na mwanafunzi mmoja. Naimani sasa mkuu Uzalendi...
  3. N

    JamiiForums Uthibitisho wa tuhuma zilizopo chuo cha kumbukumbu ya mwalimu nyerere

    Leo kulikuwa na kikao cha kumjadili Kiowi. Nasikia mkuu wa chuo na luambano wamemtetea, lakini hawezi kwepa mkono wa PCCB
  4. N

    JamiiForums Uthibitisho wa tuhuma zilizopo chuo cha kumbukumbu ya mwalimu nyerere

    Pasco umedai wewe ni mdau wa mwalimu nyerere, hebu jadili tuhuma hizi. Pia mabuba wewe ni member wa humu thibitisha barua hii.
  5. N

    JamiiForums Uthibitisho wa tuhuma zilizopo chuo cha kumbukumbu ya mwalimu nyerere

    Kesho nitawaletea ajila zisizo eleweka kwa walimu 2 na warden 1 aliyeacha kazi
  6. N

    JamiiForums Uthibitisho wa tuhuma zilizopo chuo cha kumbukumbu ya mwalimu nyerere

    Wana JF kumekuwa watu hususan Mkuu Uzalendi, Mpalamtoko na wengine juu ya tuhuma za chuo hicho, hapa naweka barua iliyoandikwa na bwana Mabuba kwenda kwa mkuu wa chuo. Kumbukeni ndugu huyu naye ni mtuhumiwa, amekuwa akituhumiwa kutoa vyeti feki. Nitajitahidi kuwaletea kila doc nitakayoipata...
  7. N

    JamiiForums Dk. John Magoti na mr. Lwambano mchunguzwe,mmekiua chuo cha kumbukumbu ya mwalimu Nyerere

    Nusu kweli, nusu chumvi, baada ya mkuu mpalamtoko kuandika hapa mara kwa mara, nimeamua kufanya uchunguzi nitakuja nao tarehe 2/09/2013 nikiwa na takwimu na vielezo. Ila mengi sana ameongeza chumvi
  8. N

    JamiiForums Diploma ya Ujasiriamali

    Waduu naomba kuuliza kama kuna chuo kinatoa Diploma ya ujasirimali. Chuo kiwe Dar es Salaam, na kinachotoa masomo hayo jioni
Back
Top Bottom