kweli wa tz tunamatatzo ya akili yani mtu anaongea upambavu alafu watu bado wanasapoti eti kisa aliyeongea ni mchungaji mambo ya utoaji wa maoni ktk katiba unahusiana nn na idadi ya watu? labda angesema upangaji wa bajeti ningemuelewa coz upangaji wa bajeti lazma uzngatie na idadi ya watu kwahyo...
kama kila mtu anahaki ya kuabudu anachokitaka na anachokiabu kiheshimiwe sasa kwann baadhi ya watu wanaingilia imani za wenzao mf: matukio kadhaa tumeyaskia ya kuchanwa kwa quran lkn mmeshindwa kuwachukulia hatua waliofanya badala yake mnasubiri matokeo ndomuachukulia hatua wanaopinga...
hata mashule yote tz yakiwa ya kiislam haitasaidia haliyakua baraza la mitihani ni la kwao au huzioni hujuma zinazoendelea necta? waislam sasaivi wanamashule mengi tu pia wapo wengi ktk mashule ya serikali na wanafanya vizuri sana tatzo ni wakatoliki waliojazana NECTA
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.