Recent content by Ngaramu

  1. Ngaramu

    Samwel Sitta: Magufuli anashauriwa vibaya!

    Kula TANO mkuu....siku hizi waficha kitufe cha LIKE
  2. Ngaramu

    Naibu waziri wa Ujenzi na Mawasiliano, tufungulie njia zetu kwa mabasi yote kufika Posta

    Naishangaa sana serikali ILIYOPITA! Sijui ilikuwa inaENDESHWA na mdudu gani!!??? Awamu ya5, JIPU LINATOA USAHA hili.
  3. Ngaramu

    Kigogo wa BoT azuiwa Airport kutokana na kukosa vibali vya kusafiri nje ya nchi

    Kibali tu mzee ili kujiridhisha kuwa hatoroki. kumbuka; Hali ya majipu ni mbaya sana.
  4. Ngaramu

    Je, huu sio uvunjaji wa haki za msingi za binadamu unaofanywa na serikali ya Magufuli?

    Jamani ninavyoelewa mimi ni kwamba mtumishi atasafiri nje kwa kibali kutoka IKULU, kwani ukiwa LIKIZO inakuzuia nini kuomba KIBALI na sababu inaeleweka?? OMBA KIBALI, NENDA ZAKO kula raha. Labda kama unatumia na influence ya title ya umma.
  5. Ngaramu

    Hatudanganyiki, huyu mfanyabiashara alikuchangia mapesa Magufuli

    Kwani JK atamsahau? Umedanganyika! Watu wa kukumbukwa no wengi sana. Unafikiri JPM atamsahau EL?
  6. Ngaramu

    Am sure hawa hapa watakuwa wamenuna, na hawa hapa watakuwa wanafurahia

    Anatekeleza SERA ZA WANANCHI, sio za chama fulani. Hayo ndio wananchi tunayoyataka. Usimjengee MAKUNDI, mwache atumbue tu!
  7. Ngaramu

    Mabasi ya UDA yakamatwa, Ridhiwani Kikwete ahusishwa

    UDA ni kero pale Mnazi mmoja. NI KWA MASLAHI YA NANI?
  8. Ngaramu

    Mabasi ya UDA yakamatwa, Ridhiwani Kikwete ahusishwa

    SUMTRA walitumia kigezo/ushawishiwa gani kuwapa UDA pekee ki-route deal cha Mnazimmoja-Kivukoni? Hii route ni UFISADI kama wa "capacity charge"
  9. Ngaramu

    Sherehe za watu wenye ulemavu zilimpigaje chenga Magufuli?

    Hivi umetafakari kwa making na kujuliza maana na thamani ya "Makundi maalum"? Think critically utaelewa kuwa sherehe hizo zina umuhimu tofauti
  10. Ngaramu

    Anachofanya Rais Magufuli sasa ni uchonganishi kati ya wananchi na Kikwete

    Well done GT - ili watz wengi waelewe
  11. Ngaramu

    Anachofanya Rais Magufuli sasa ni uchonganishi kati ya wananchi na Kikwete

    Kuna watu wamevamia jukwaa sio saizi yao!
  12. Ngaramu

    Bado Magufuli anahangaika na visamaki, Manyangumi yanalala kwa raha kabisa

    Wivu tu! Wewe ni yule jamaa wa Pumbuli nini?
  13. Ngaramu

    Bado Magufuli anahangaika na visamaki, Manyangumi yanalala kwa raha kabisa

    Sio lazima kwa sequence yako, unaweza kukata miti yote kwanza kisha ukaleta dozer kung'oa visiki
  14. Ngaramu

    Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

    Soma comment ya #1954tanu , utaelewa
  15. Ngaramu

    Rais Magufuli aagiza Taasisi za Umma zisizo na tija kupunguza wafanyakazi

    Kwanza ondoa wasio na tija, kisha vutia viwanda vipya, waliokuwa productive watapata huko
Back
Top Bottom