Wakuu kwa unyenyekevu nakuja kwenu naombeni mbinu za kumpiga kanji hata kidogo, maana naliwa mwenzenu yaani kanji kanigeuza malaya wake ananifanya anavyotaka kila siku
Gavana tukibeti mara 1-2 si kanji atafunga biashara! Yaani betting ni upuuzi kila siku unafikiria namna ya kumpiga kanjibai , halafu unapoteza mara 99 unapata mara 1,
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.