Recent content by NGANGU

  1. N

    Waziri Mkuu Majaliwa apiga marufuku mikutano ya kisiasa

    Nafikiri kilichofanyik
  2. N

    Huyu ndo Naibu wa TAMISEMI na elimu yake

    Haa hayo ni mawazo ya useless bugger..majaliwa yuko vizuri ni typinng error tu. Najua 1993 alikuwa UDSM na baadaye University of Stockholm...Uzoefu wa serikali kama Mhe DC lakini fani anaijua mojawapo ya viongozi wa CWT wenye mafanikio makubwa uliza Singida huko.
  3. N

    CHADEMA na Polisi wakubaliana kusitisha maandamano ya Machi 25

    Maauzi yenye ya maslahi ya kitaifa ya namba hii yanahitaji busara...polisi wanahitajka kulinda Usalama wa Raia na Mali zao wakati wa maandamano na wakati huohuo kuhakikisha ziara ya kitaifa inafanyika bila bugudha.
  4. N

    Sijalipwa arrears kwa miaka 4 sasa!

    Ongeza juhudi za kufanya uuatiliaji kimaandishi na ana kwa ana hasa kwa afisa utumishi...
  5. N

    Naibu Waziri wa ELIMU: Acha cheap popularity

    Huu ni wakati wa kufanya maamuzi makini.....naibu waziri ameonesha mfano....kwa kweli mimi nimekuwa nasubiri kwa muda mrefu kuona yatokee hatimaye faraja imefika nafikiri alistahili habari kutoka chanzo hakika ni kuwa mwalimu huyo amekuwa na mapungufu mengi 1.kabla hajahamia mkomazi huko...
Back
Top Bottom