Vipi kuhusu kelele za matangazo ya spika za wamachinga hususan maeneo ya sokoni , mitaani, na magari ya kutangaza biashara?
Hivi NEMC hawasikii hizi wakipita Ilala Uwanja wa Karume au Buguruni ?
Yaani spika zimejazana kwa sauti kubwa mpaka hakuna hata moja ambayo inasikika.
Hizi zinaathiri...
Mfumo huu wa biashara inaitwa DOLLAR STORE yaani takriban Shs 3000 na yapo nchi nyingi duniani. Wanapata faida kutokana na uwingi wa vitu wanavyouza ambazo ni vitu vidogo vidogo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.