Recent content by ngamaikola

  1. ngamaikola

    Mwinjilisti na Mlinzi wa Mahakama wafikishwa Mahakamani kwa kughushi Nyaraka

    Hii inaletwa na tamaa au ni ukosefu wa ajira
  2. ngamaikola

    TAHADHARI: Vijana wengi wanapoteza muda Dar es Salaam

    Mi nikajua baada ya utafiti wake atatoa elimu ya nammna ya kutumia pesa kulingana na kipato kumbe kakimbilia kuponda vijana wa dar inaonekana hata elimu ya matumizi ya pesa hajui
  3. ngamaikola

    Tuelezane mambo ambayo ulidhani ni muhimu katika umri fulani ila sasa unaona hayana maana

    Sawa maelezo yako yanagongana ni mungu kwa imani yako na amekufa ya ajili ya kukuokoa ni kweli juu ya hili
  4. ngamaikola

    Kuna Waislamu wanachafua Uislam

    Ukisema uihukumu dini kupitia watu wenye maovuu ya dini flani hii inonesha kuwa ww pia n mdini
  5. ngamaikola

    Tuelezane mambo ambayo ulidhani ni muhimu katika umri fulani ila sasa unaona hayana maana

    Naomba kuuliza swali kwa mujibu wa imani yako "yesu unamgambua kama nani?
  6. ngamaikola

    Kuna Waislamu wanachafua Uislam

    Kwa ukipotazamia ni kweli kabisa lakn mbona husemi viongozi mwanao husika na mauaji kamma ni dini au hilo sio kosa?
Back
Top Bottom