Lissu ni mwepesi kuliko tissue paper, ni mbwekaji lkn sio mvumilivu na mwepesi sana kuingia kwenye jinai yeye mwenyewe au kuingiza wengine. Muda utaongea, atakuwa amekimbilia ubelijigi.
Hicho chama kili survive kwa kuwa Mwenyekiti alikuwepo, tabia yake ya kukimbia kimbia nje ya nchi kila akipata changamoto kidogo, kuna siku chama kitakosa mwenyekiti kwa muda usiojulikana.
Mjinga atakibiwa sawa na ujinga wake, mzee anajua hilo, ila kwa desturi CCM usipojibiwa umedharauliwa . Kama ni kushauri taratibu anazijua vema kama sio kujitoa ufahamu.
Kwa maneno yako haya hata post yako haina maana tena. Kwa lugha yako chafu huna moral authority kulisemea kanisa, hebu kajipange upya, wakatoliki hawako hivyo, rudi kwa aliyekutuma.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.