Recent content by Ngabya

  1. N

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa kupatiwa kamera ya kufanyia biashara

    Camera ya aina yoyote tu ili nianzie kazi yenye uwezo wa kupiga picha za mnato na picha mwendo...[emoji122]
  2. N

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa kupatiwa kamera ya kufanyia biashara

    Sijakulewa vizuri
  3. N

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa kupatiwa kamera ya kufanyia biashara

    Nadhani hajaelewa hata
  4. N

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa kupatiwa kamera ya kufanyia biashara

    Asante kwa ushauri mkuu
  5. N

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa kupatiwa kamera ya kufanyia biashara

    Mimi naitwa Emmanuel nipo hapa mkoani mbeya mimi ni mwandishi wa habari mwenye uzoefu wa miaka mitano Sasa... Kutokana na changamoto za ajira nimeona fursa nyingine ambayo ipo ndani ya tasnia hii ya habari, Ni upigaji wa picha ili kujiingizia kipato na kupiga hatua Kama kijana...! Changamoto...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa kupatiwa kamera ya kufanyia biashara

    Mimi naitwa Emmanuel nipo hapa mkoani Mbeya mimi ni mwandishi wa habari mwenye uzoefu wa miaka mitano Sasa... Kutokana na changamoto za ajira nimeona fursa nyingine ambayo ipo ndani ya tasnia hii ya habari, Ni upigaji wa picha ili kujiingizia kipato na kupiga hatua Kama kijana...! Changamoto...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa kupatiwa kamera ya kufanyia biashara

    Kampuni gani mkuu
  8. N

    JamiiForums Tanzania NATAFUTA PATNA WA BUSINESS

    Elezea vizuri mkuu
  9. N

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa kupatiwa kamera ya kufanyia biashara

    Inagoma kuweka audio nimejaribu mara kadhaa
  10. N

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa kupatiwa kamera ya kufanyia biashara

    BARAKA FM
  11. N

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa kupatiwa kamera ya kufanyia biashara

    Wakuu najaribu kuattach audio nashindwa
  12. N

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa kupatiwa kamera ya kufanyia biashara

    Naomba nifanye hili baadaye kidogo nipo mtaani kwa sasa
  13. N

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa kupatiwa kamera ya kufanyia biashara

    Kwa upande wa tasnia hii ya habari kweli kunachangamoto hii ya kujitolea... Siwezi kukubali maana nimejitolea kwa muda mkubwa sana.... Ndio maana imefikia muda natamani nifanye kazi nyingine tofauti labda itasaidia
  14. N

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa kupatiwa kamera ya kufanyia biashara

    Sauti ninayo na naamini ni nzuri.... Nahitaji msaada nitafanya kwa bidii
Back
Top Bottom