Naomba msaada wa kupatiwa kamera ya kufanyia biashara

Ngabya

Member
Jan 15, 2019
19
4
Naitwa Emmanuel natafuta kazi popote Tanzania....
Nina elimu ya uandishi wa habari ngazi ya cheti uzoefu wangu wa mkazi ni miaka sita hadi hivi Sasa...!!!!
 
Pole sana kwa changamoto yako, Mbeya ni mojawapo ya eneo lenye idadi kubwa ya vyombo vya habari (electronic media) vipi hujafanikiwa kutembelea media za huko au hutaki kufanya kazi kwenye taaluma yako kwa sasa?
Nipo mbeya
 
Katika uzoefu wangu hapo juu nimekuwa nikifanya kazi redioni kwa muda huo... Kama ujuavyo changamoto ni kubwa sana nahitaji kubadili mazingira
 
Sawa mkuu, nadhani unafahamu ugumu wa ajira kwa sasa. Hata ukisema upate mazingira mengine tofauti na hayo watakutaka uanze kwa kujitolea wakati wakitazama uwezo wako.

Hilo umejipanga vipi kukabiliana nalo. (mfano ukahitajika Mwanza)
 
Kwa upande wa tasnia hii ya habari kweli kunachangamoto hii ya kujitolea... Siwezi kukubali maana nimejitolea kwa muda mkubwa sana.... Ndio maana imefikia muda natamani nifanye kazi nyingine tofauti labda itasaidia
 
Hebu ambatanisha hapa kipindi hata cha dakika 5 mkuu, kama utaweza kufanya hivyo.
Kwa upande wa tasnia hii ya habari kweli kunachangamoto hii ya kujitolea... Siwezi kukubali maana nimejitolea kwa muda mkubwa sana.... Ndio maana imefikia muda natamani nifanye kazi nyingine tofauti labda itasaidia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom