Bei ya kuunganishiwa umeme kwa wakazi wa vijijini imeshuka sana na sasa ni shilingi 27,000/= ndani ya mita 30 kwa single phase tu.. kwa maelezo zaidi fika ofisi yoyote ya tanesco
kama heading inavyojieleza, nmegundua hii report illichotolewa na CAG ni kama kumsaidia Rais kujua wapi na nani aliepewa mamlaka akafanya madudu ashughulikiwe. kama tunavyojua Rais wetu hapendi mambo ya longolongo.. otherwsie Tanzania imepiga maendeleo makubwa sana na bado tutaendelea kujisifia...
Katika tathmini ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo nilibaini baadhi ya mambo kama yanavyoonekana hapa chini:
Miradi 27 yenye thamani ya Sh. 5,242,553,134 ilikamilika katika Mamlaka za Serikali za Mitaa 16,
Nimekaa chini nikatafakari, mara nyingi tumekuwa tukiona watu wakishinikiza wengine wafanye migomo. Utakuta kuna baadhi ya watu pengine hata viongozi wanaongelea migomo na kuwalisha watu sumu lakini hata mara moja hawa watu waga hawaonekani eneo la tukio, kwanini?
Kwanini umtamgulize mtoto wa...
yan hii makala ilivyokua ndefu nashangaasikuona watu mtaani.. hahah jaman watu wana mbwembwe nyingi mtandaoni sana ila ikija kwenye swala la action wanaviziana.. lol #hapakazitu maandamano labda nyumban kwenu huko
kuna wakati najiuliza hivi ni kweli ushujaa wa mtu unatokana na mtu kuonyesha ukaidi wa wazi kwa mantiki eti ya kusimamia ushujaa wake.. sioni ni jinsi gani unakua shujaa baada ya kukoseshwa vikao vya bunge wakati wananchi wa jimboni wamekuchagua ukawe kama msemaji wao na badala yake karibu...
who said gongagonga ya mabati n kiwanda?, and well maybe viwanda vinaanza hivyo hivyo mfano hizo kushona cherehani eventually inaeza ikawa textile factory napo utasema hakina maana?? unadhan nchi zingine watu walianzaje wenye investment zao kubwa?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.