Recent content by Neylisious

  1. Neylisious

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake tuambizane unapomkamata mume wako na mwanamke mwingine unachukua hatua gani?

    UMeonaa wakati kuna maisha mengine yanaendelea kabisa
  2. Neylisious

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake tuambizane unapomkamata mume wako na mwanamke mwingine unachukua hatua gani?

    :D:D:D tunajitahidi kuishi kwa kuchukuliana endapo ukishajijua wewe una mapungufu why mwenzio asiwe nayo
  3. Neylisious

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake tuambizane unapomkamata mume wako na mwanamke mwingine unachukua hatua gani?

    Yaani hapo unakuwa husaidii chochote kipenzi zaidi utakuwa unaongezea shida tu sometimes mwanaume akiona unampigia kelele sana hawezi hata kujirekebisha but ukilifanya jambo kwa busara na wao wana roho pia kuna kukumbuka mazuri yako na kusema why namcheat mke wangu wakati yupo hivi inshu...
  4. Neylisious

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake tuambizane unapomkamata mume wako na mwanamke mwingine unachukua hatua gani?

    Naendelea na hamsini zangu zaidi tu nitamsalimia aone kama nilimuona vizuri na hii itakuwa dawa na fundisho kwake kubwa sana maana ukianzisha fujo hapo kuna kupigika na vurugu zingine ...mengine tutakuja kuyamaliza wenyewe nyumbani
  5. Neylisious

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Dada zetu mkifika “magetoni”

    🤣🤣🤣🤣
  6. Neylisious

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni kweli hii style ya kungonoka huwa inawaumiza wadada?

    Kabisa shukurani sana Mkuu
  7. Neylisious

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni kweli hii style ya kungonoka huwa inawaumiza wadada?

    U made my day mbona kama unatoka mapepo jamani we kaka Mungu anakuona ujue
  8. Neylisious

    JamiiForums Tanzania Samsung A-series za 2019 naona kama zishaanza kuwa yeboyebo

    Wale wanaomiliki A80 waje tujuane maana hakuna kama A80 ni simu moja matata sihami Samsung ng'o 💪💪
  9. Neylisious

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada tafadhali,mke wangu kanipeleka kwa mwenyekiti wa mtaa

  10. Neylisious

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada tafadhali,mke wangu kanipeleka kwa mwenyekiti wa mtaa

    Mlipe hela yake tatizo hamjui kuomba unaomba kukopeshwa na angali hauna mpango wa kurudisha sema mama fulani nisaidie kiasi kadhaa cha pesa atoe kwa moyo mmoja sio nikopeshe alafu kunirudishia inakuwa shida
  11. Neylisious

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Pongezi kwenu Single Mothers

    Na sie hatuolewi na wanaume makapuku kama wewe ambae bado upo kwenu bora tuzae na kulea sio wote wanaolilia kutunziwa watoto wewe yahaya .
  12. Neylisious

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Pongezi kwenu Single Mothers

    Ndio ukome
  13. Neylisious

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Pongezi kwenu Single Mothers

    Huna lolote bichwa ka gimbi lako sio kila mmoja ana kiburi kwa vile demu wako ana kiburi ukajua na wengine wapo hivyo
  14. Neylisious

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Pongezi kwenu Single Mothers

    Umesikika kunako alafu utakuta anaesema hivyo bado yupo kwao toka enzi za story ya utamu wa mua uliozamisha meli
  15. Neylisious

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Vipi unamchukuliaje huyu mwanamke?

    Mpe sukari ya moyo pesaaaaaaaaaaaa atapona tu
Back
Top Bottom