Sorry nmechelewa kujibu lkn unaweza kuoutsource kwa campuni moja ikufanyie kila kitu au izo department unaoutsource kwa campuni tofauti tofauti?
Mfano marketing unaoutsource kwa campuni A, HR kwa campuni B, product development kwa campuni C, wewe unabaki na management tu au management nayo...
Baadhi ya vyuo vya nje vinatoa foundation kwa wale ambao hawajakidhi vigezo na wanataman kusoma hiyo course. Karibu tukuunganishe na vyuo vya nje ya nchi utilise lengo lako
Call 0677300030
WhatsApp 067700030
Au fika ofisi za Cari Vision Study Abroad Universities, zipo Victoria Dar es Salaam...
CARI VISION STUDY ABROAD UNIVERSITIES LTD
Ni taasisi inayohusika na kuunganisha wanafunzi wanaotaka kujiunga na vyuo mbalimbali nje ya nchi. Iwe online au in campus tunakusaidia.
Call 0677300030
WhatsApp 0677300030
Karibu sana
Hii ni social construction history ya centuries, mwanaume ndio ana advantage zaid kwenye system za uchumi wa hii Dunia, mwanamke hata akiwa na hela hatapata connection za kuzalisha kile alichonacho kirahis Kama mwanaume, uchumi wa Dunia umeshikiliwa na mwanaume na Kama ilivo nature ya binadamu...
Duh hiyo FOO inakiwaje?
Yan operation nzima unaachia watu wengine au Kila department una outsource kwa watu tofauti. Ebu fafanua vizuri mkuu Yani ukiachia wengine Kila kitu wewe utajiaje mwenendo wa kampuni yako?
Hii idea imesukwa vizuri Sana, tatizo ni jamii tuliyopo watu wanaelimu ndogo Sana kuhusiana na uwekezaji.
Vicoba kuwa venture capital firm inaweza ikawa fresh Ila swali ni itafanyikaje Sera na Sheria za nchi zinazungumziaj vicoba vinafanyika zaidi na wajasiriamali wadogo wenye elimu ndogo Sana...
Jaman naomben vitab hivi
1. Interprenuership for dummies by Kathleen Alen
2. Fishers investment in consumer descretionary by Eric Renaud and Andrew Taufel
3. Fishers investment in healthcare by Andrew Taufel and Michael kelly
Mazingira ndugu ,huku Sera ni mbovu hawasaport inovation gundua kitu uone utakavyodaiwa vibali Kama vyote,halaf mda huo hauna nguvu kiuchumi. Pia matajiri wetu hawana mwamko wa kuwekeza kwenye talent km izi wengi wanakimbilia kwenye intertainment miziki mpira ndio utasikia tajir flan kaweka...
Wakati watu wengine wakipata utajiri wanawaza kuspend as much as they can au asipospend Basi atawekeza zaidi kukuza utajiri wao lakin Elon musk yupo kivingine huyu jamaa Ana vision ya hali ya juu Sana badala ya kuongeza product ambazo zitawanyonya wanyonge ili yeye abaki juu kama wanavyofanya...
Jaman naomben soft copy ya hivi vitabu
The gods equation:quest for theory of everything. Na
The future of the mind
Vyote vimeandikwa na physist Michio Kaku
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.