Habari zenu wadau,
Nahitaji kujua uhusiano uliopo kati ya kuwashwa kwa kiganja cha mkono na kupata au kukosa pesa. Kuna hii dhana ipo kwa watu unakuta mtu akiwasha katika kiganja chake unasikia leo nitapata pesa na kweli anapata au leo nitapoteza pesa na kweli anapoteza.
Sasa mimi nataka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.