Recent content by ney1

  1. N

    JamiiForums Tanzania Nisaidieni kuhusu mafao yangu yaliyobaki serikali kuu

    asante sana asee
  2. N

    JamiiForums Tanzania Nisaidieni kuhusu mafao yangu yaliyobaki serikali kuu

    mbona kimya wadau
  3. N

    JamiiForums Tanzania Nisaidieni kuhusu mafao yangu yaliyobaki serikali kuu

    Baba yangu mkubwa kastaafu mwaka jana, alipewa mafao yake nusu kutoka LAPF ikawa imebaki serikali kuu. Sasa jana kapigiwa na na mtu anadai yupo hazina akamtajia process zote mpaka jina mwaka aliozaliwa, cheki no akamwambia hela zake anazofatilia zimetoka na kiasi akamtajia na akamwambia mwaka...
  4. N

    JamiiForums Tanzania Napita wakati mgumu sana, nisaidieni

    ilikua ni uchumba tu ambao tulijua tutaishia ndoa kwani tulitambulishana pande zote mahal kwetu alitoa nikaja kujua amempa mimba bint mwingine tukiwa ndan ya uchumba ikapelekea kukosana na kuahilisha process zote za ndoa. so kila mtu anaishi kivyake na ni mikoa tofauti
  5. N

    JamiiForums Tanzania Napita wakati mgumu sana, nisaidieni

    asante umenipa ushauri mzuri sana
  6. N

    JamiiForums Tanzania Napita wakati mgumu sana, nisaidieni

    Ni bora uwe na masiliano ya karibu na mzazii mwenzio au bora muwasiliane mara 1 kwa mwezi? Maana mzazi mwenzangu ananipigia x3 kwa siku kila siku na wala haonyeshi dalili ya kuishi na mimi. Hii hali inaniumiza sana naona bora nimuulize kama hana mpango/ hanipendi ni bora tukawasiliana mara 1...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Huyu jamaa anatumia nguvu za giza ama?

    cjakuelewa
  8. N

    JamiiForums Tanzania Huyu jamaa anatumia nguvu za giza ama?

    hata matumiz sio tatizo
  9. N

    JamiiForums Tanzania Huyu jamaa anatumia nguvu za giza ama?

    hana ni kawaida sana ni mwl
  10. N

    JamiiForums Tanzania Huyu jamaa anatumia nguvu za giza ama?

    khantwe nishauri ndugu nifanyeje natanani saaana na namchukia sana basi tu sielewi
  11. N

    JamiiForums Tanzania Huyu jamaa anatumia nguvu za giza ama?

    inawezekana kweli molembe lakini kwann kwa ujauzito kanifanyia vituko sana kanituka nimejifungua hakua na shida hata ya mtoto na kwa wenzangu hivyo hivyo lakini mtu ukimuona tu hasira zinaisha kabisaa da!!!
  12. N

    JamiiForums Tanzania Huyu jamaa anatumia nguvu za giza ama?

    Nilikua siamini ushirikina lakini sasa naanza kushtuka sielewi huyu jamaa ni mchawi ama, katuzalisha wanawake 4 wa 1 kashaolewa, sasa sisi tuliobaki 2 tunamawasiliano mazuri tu huwa tunapigiana simu cha ajabu huyu jamaa akienda kwa yule anamdanganya simtaki fulani nimeachana nae yule anampa...
  13. N

    JamiiForums Tanzania Akina dada piteni huku

    umeongea point sana mkuu thanx
  14. N

    JamiiForums Tanzania Akina dada piteni huku

    Wanawake wenzangu naomba tumshauri huyu binti, Ni mdada wa miaka 29 sasa alizaa na mwanaume walikua na ahadi ya kufunga mambo ya liingiliana lakini process zote tayari kasheshe inakuja wakati binti anachumbiwa jamaa alimwambia anamtoto wa 7years bint akakubali kumbe kuna mwanamke tena...
  15. N

    JamiiForums Tanzania Ni nini anatafuta huyu mke mwenza?

    Tumuite jina A alizaa na jamaa kabla ya hapo alichumbiwa wakatambulishana kwa wazazi pande zote 2 mahali nusu ukatoka ndoa ilikua iwe last year may. A kapata ujauzito kabla ndoa mzazi wa mwanaume mchungaji kagoma kufungisha ndoa mjamzito mpaka ajifungue, kumbe wakati A anachumbiwa kuna...
Back
Top Bottom