Ndugu Mtanzania Mwenzangu kwa pamoja tuna jukumu la Kuchagua Kiongozi ambaye ataweka mbele maslahi mapana ya Taifa letu na mwenye nia ya dhati ya kuliletea Maendeleo Taifa letu..Tuungane kwa Pamoja tukampigie Kura Ndugu Dr.John Pombe Magufuli ambaye ameonyesha dhahiri maono yake na uwajibikaji...
Si kweli,chama cha Mapinduzi kina utaratibu mzuri sana wa kutoa maelekezo kwa wagombea wake na viongozi huwa wanazikaugua kabla hazija wasilishwa sehemu husika...Lakini Upinzani hata ofisi hawana kila mmoja anafanya lake ..
Hahhaha..
MBONA WAPO WALIOMSIMAMISHA MGOMBEA NA LEO WANAMKANA....!!!🤣🤣🤣Upinzani wa Tanzania ni zaidi ya kirusi wamekaa kuharibu kila kitu...Huwezi fanya nao lolote la maendeleo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.