Ma.nyo.kolooooo wewe mjaaa laana mkubwa! Njaaa imekuingia tumboni hadi unashindwa kujielewa . Jitu zima unalamba masaburi ya samuya? Big shame on you dude
Yaaani kweli wewe ni bonge la kilaza....watoto watano akuoe nani? Ni hivi mimi hata mwanamke awe na mtoto mmoja siwezi kukubali sembuse watano.
Unachoshindwa kuelewa ni kuwa mwanaume anaoa, wewe unaolewa.
To cut the story short: ACHANA NA HUYO MWANAUME HUMFAI NA HUFAI KUWA MKE WA MWANAUME...
Umemaliza bro! Huyu mwanamke anaonyesha yupo kimaslahi zaidi na hana upendo wala uhitaji wa mume wake wa kujenga nae familia.
Ni toxic in marriage! Hilo ni gunia la misumari hakuna wife hapo
Nikupe ushauri wa bure tu, mwanamke akishavunja ungo huyo tayari ni mtu mzima. Wewe maamuzi ni yako kama unaona utakuwa sehemu salama basi funga nae ndoa akuoe.
Kimsingi ipo hivi: gari bovu(huyo mumeo) huvutwa na gari nzima (wewe). Huwa namshangaa sana mwanamke anayemkuta mwanaume ana...
Hilo kwangu sio tatizo kabisa as I told you before, moyo wangu ulishakupenda na akili na moyo vyote vimekuwa na ushirikiano wa asilimia 💯 katika kufanya maamuzi sahihi kabisa juu yako mke wangu mpenzi.
In short, hata ungesema upo ulaya au upo kaunti ya nyeri au kisumu nipo tayari mke wangu...
Kwa sababu moyo wangu ulishafanya maamuzi sahihi ya kukuoa wewe as my super wife sioni sababu ya kuendelea kusubiria mmakonde wa mtwara, kifupi wewe watosha my wife 😘
Usinifanyie hivyo bana sio mke wangu mpenzi ujueee! We need to have a stable family and focus life together ❤️ 😘
Hata nikitoa ng'ombe 30 hazitakuwa na faida kwako zaidi ya show off tu kwa ndugu na marafiki kuwa wewe ni expensive kwa sababu umelipiwa na mimi mume wako mahari ng'ombe 30 but it...
Halafu wewe njoo kwangu nikuoe bana ujue kiukweli nakupenda sana mtoto mzuri.
Please ukisoma huu ujumbe wangu naomba tuwasilane mke wangu mtarajiwa. Hopefully we may keep in touch and bond together 🥰🙏
Ni kweli kabisaa naamini hapa nitakuja kupata mwanamke bora na ambaye tutaweza kujenga familia bora na kuwa na furaha.
Mungu aendelee kusimama upande wangu na mzidi kuniombea
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.