Recent content by Next Elon Musk

  1. Next Elon Musk

    JamiiForums Tanzania GPA ya 3.0 ni nzuri kwenye fursa za kazi?

    Sorry mkuu niko nje ya swali lako je, gpa inaanza kuhesabiwa vipi ni jumla ya miaka yote mitatu(grade) au mwaka wa mwisho.
  2. Next Elon Musk

    JamiiForums Tanzania Nauza Zambian Kwacha ya mwaka 2012

    Naam
  3. Next Elon Musk

    JamiiForums Tanzania Nauza Zambian Kwacha ya mwaka 2012

    Yap
  4. Next Elon Musk

    JamiiForums Tanzania Nauza Zambian Kwacha ya mwaka 2012

    Habari wakuu
  5. Next Elon Musk

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupata mtaji wa kuanzisha biashara

    Mwambie kwanza milioni 3 nayo hela? Duh 🙄😆
  6. Next Elon Musk

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupata mtaji wa kuanzisha biashara

    Apo penyewe unatumia infinix tuache kwanza 😂
  7. Next Elon Musk

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupata mtaji wa kuanzisha biashara

    Sio kila mtu anategemea boom people start college while they're making money
  8. Next Elon Musk

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je! Macbook itanifaa?

    Kweli kabisa mkuu hai stuck haiishi chaji that thing is the beast tbh
  9. Next Elon Musk

    JamiiForums Tanzania Biashara ya mtaji wa 1,500,000

    Kweli kabisa mkuu
  10. Next Elon Musk

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupata mtaji wa kuanzisha biashara

    Shida nyinyi ndo mibdset zenu ziko uko mbona kawaida kwa sasa mwanafunzi first year ana saving ya 3m, 2m ambayo iko out of any expenses huyo ni alikua anajishuhilisha kabla na kubana matumizi as maybe yuko kwao simple shida nini mkuu watu wa jf mna chosha.
  11. Next Elon Musk

    JamiiForums Tanzania Biashara ya mtaji wa 1,500,000

    Can I PM you ps?
  12. Next Elon Musk

    JamiiForums Tanzania Biashara ya mtaji wa 1,500,000

    Kama ile yako ya tumbaku, sawa
  13. Next Elon Musk

    JamiiForums Tanzania Biashara ya mtaji wa 1,500,000

    Sawa
  14. Next Elon Musk

    JamiiForums Tanzania Biashara ya mtaji wa 1,500,000

    Habari wanajamii, mimi ni kijana niko chuoni Nina laptop yangu yenye thamani ya 1,500,000 natumia ina best specifications nilinunua kwa kazi za graphics na chuo masomo ya IT sasa nilawa siingizi kiasi nilichokua nataraji as watu wengi wanataka kazi kwa bei nafuu mno sasa laptop ikawa haini...
Back
Top Bottom