ameenda tena kuongea na wazee kuhusu maswala ya katiba... cheki hotuba yake ya tarehe 18 mwezi 11 2011 habari moto moto: HOTUBA YA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, MHESHIMIWA JAKAYA MRISHO KIKWETE, KWA WANANCHI KUHUSU HALI YA UCHUMI NCHINI NA MCHAKATO WA KATIBA MPYA, TAREHE 17 NOVEMBA, 2011