Kwa macho yangu nashuhudia watu watu wa pikipiki (toyo) (boda boda) hapa maeneo ya Ngulelo, Arusha wakipewa pesa, kiasi cha tsh 10,000/= tshirt na kofia za chama.
Asanteni sana wakuu. Mmetusaidia wengi. Nami nimeisambaza taarifa hii kwa kadri niwezavyo. " Piga *152*00# kuhakiki jina lako katika daftari la kudumu la wapiga kura. Waambie watu wengi uwezavyo"
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.